Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 48,673
- 149,860
Mh.Raisi amekuwa akisisitiza watu wafanye kazi kwa kutumia kauli mbiu yake ya "hapa kazi tu".Ni jambo jema kabisa na la kuungwa mkono na kila mpenda maendeleo.
Hata hivyo,kinachonishangaza ni taarifa kuwa mh. hivi sasa yuko kijijini kwake Chato kwa mapumziko ya likizo.Tukumbuke mh.Raisi ameingia ofisini mwezi November mwaka jana baada ya kuapishwa na kama kumbukumbu zangu ziko sahihi, mh.aliapishwa tarehe 06/11/2015.
Sasa wadu kauli mbiu ya hapa kazi tu na likizo ndani ya miezi mitano tu ni sawa?
Alafu hata kwa mtumishi wa umma(kwa Raisi sijui) ukijajiliwa sidhani kama unaweza kuchukua likizo ndani ya miezi 5 tangu uanze kazi unless una sababu ya msingi yote hii bila shaka ni katika kuleta ufanisi kazini.
Sasa mh.wetu wewe inawezekana taratibu zinakuruhusu ila mbona unakuwa hauitendei haki kauli mbiu yako ya hapa kazi tu?
Isitoshe, si serikali hii ndio ilifuta likizo za watumishi wa umma?
Anyway,hatuwezi jua labda amepewa ushauri wa kitaalamu.