Elections 2010 Kauli Mbiu ya CUF Igunga: Kashindye-Ashindwe, Kafumu-Afumuliwe, Mahona-tumemuona

mkigoma

JF-Expert Member
Jul 26, 2011
1,180
309
wakiwa katika mkutano wa uliofanyika Leo asubuhi katika kata ya ziba uliofurika maelfu ya wakazi wa kata hiyo, kampeni meneja Anthony Kayange alikuwa akitaja jina la kila mgombea ambapo alianza na Kashindye waliitikia Ashindwe kwa sauti kubwa, kafumu waliitikia Afumuliwe kwa sauti kubwa, na aliposema Mahona waliitikia Tumemuona kwa sauti huku wakirukaruka, haya ndio yaliyojiri huku Igunga Leo Asubuhi.
 
Siku zote tunawaambia chadema ina watu wenye vichwa vya ukweli.

Sasa hii kaulimbiu ya ccm-b mmekopi na kupesti kutoka chadema. From day one kampeni zilipoanza chadema walianza kutumia kaulimbiu hiyo.

Endeleeni kujifunza toka chadema kwa kuwa hata mwanandoa mwenzenu ccm anajifunza mengi toka chadema.
 
Nimeipenda kauli ya mbiu hii ya "Kafumu Afumuliwe" yaani hapa namkumbuka kamanda wangu mzee wa kuwafumua - dume la mbegu Mwigiru.
 
Kama walisema hivyo kwenye mkutano wa kumnadi mgombea wao basi wametenda kosa kubwa sana la kikampeni, technical mistake, but najua kwa kuwa CUF ni wapemba wengi shule hakuna. In Marketing unapopromote bidhaa yako usiwape fursa wateja kuifahamu sana bidhaa unayoshindana nayo. Vile vile katika kampeni, watu wakiwajua sana wapinzani chochote kinaweza kutokea, walichotakiwa kufanya wangeconcentrate kumnadi mgombea wao bila kutoa uzito kwa wapinzani wao kwa jimbo liko wazi kwa yoyote kulichukua. labda wana hofu na hao wagombea wengine, na hofu mara nyingi husababisha kushindwa. Mtatiro ulikuwa busy na migoma pale UDSM darasani huonekani, unaonamatokeo yake. What goes around comes around
 
Nimeipenda kauli ya mbiu hii ya "Kafumu Afumuliwe" yaani hapa namkumbuka kamanda wangu mzee wa kuwafumua - dume la mbegu Mwigiru.
Nakumbuka kunamtu aliipropose hi kauli mbiu muda naona imekubalika
 
wakiwa katika mkutano wa uliofanyika Leo asubuhi katika kata ya ziba uliofurika maelfu ya wakazi wa kata hiyo, kampeni meneja Anthony Kayange alikuwa akitaja jina la kila mgombea ambapo alianza na Kashindye waliitikia Ashindwe kwa sauti kubwa, kafumu waliitikia Afumuliwe kwa sauti kubwa, na aliposema Mahona waliitikia Tumemuona kwa sauti huku wakirukaruka, haya ndio yaliyojiri huku Igunga Leo Asubuhi.

unalo!
 
Mbona hii ndiyo imekaa vizuri, Kashindye - ASHINDE, Kafumu - AFUMULIWE na Mhona - TUMEMUONA.
 
Back
Top Bottom