wakiwa katika mkutano wa uliofanyika Leo asubuhi katika kata ya ziba uliofurika maelfu ya wakazi wa kata hiyo, kampeni meneja Anthony Kayange alikuwa akitaja jina la kila mgombea ambapo alianza na Kashindye waliitikia Ashindwe kwa sauti kubwa, kafumu waliitikia Afumuliwe kwa sauti kubwa, na aliposema Mahona waliitikia Tumemuona kwa sauti huku wakirukaruka, haya ndio yaliyojiri huku Igunga Leo Asubuhi.