Kauli mbiu mpya ya JK 2010 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kauli mbiu mpya ya JK 2010

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by M-bongo, Jun 18, 2010.

 1. M

  M-bongo JF-Expert Member

  #1
  Jun 18, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 338
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Wana JF,

  Katika pitapita yangu leo nimeweza kugudua kauli mbiu ya Mh Jakaya atakayo tumia katika uchaguzi mkuu mwaka huu kama ifuatayo:

  KASI ZAIDI
  NGUVU ZAIDI
  ARI ZAIDI
  TULIAHIDI TUMETEKELEZA!


  Hii ndio kauli mbiu itakayotumika mwaka huu ktk uchaguzi
   
 2. R

  Rayase Member

  #2
  Jun 18, 2010
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 82
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  ni kauli ya chama au ya JK? i doubt kama imekaa vema
   
 3. Nemesis

  Nemesis JF-Expert Member

  #3
  Jun 18, 2010
  Joined: Feb 13, 2008
  Messages: 3,833
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  imekaa ovyo kabisa
   
 4. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #4
  Jun 18, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Hiyo yenye red ndo inachekesha zaidi. kwi kwi kwi kwi!
   
 5. Eliphaz the Temanite

  Eliphaz the Temanite JF-Expert Member

  #5
  Jun 18, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 2,835
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  'TULIAHIDI TUMETEKELEZA'
  Oooh! My Goodnes" Mmetekeleza nini? What a sick joke! Real I feel sick to my stomach and Im gona puuuuuuke!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 6. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #6
  Jun 18, 2010
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Safi sana! Maisha bora kwa Mtanzania yameshatekelezwa.
   
 7. N-handsome

  N-handsome JF-Expert Member

  #7
  Jun 18, 2010
  Joined: Jan 23, 2008
  Messages: 2,317
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160
  Wametekeleza kugawana
   
 8. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #8
  Jun 18, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,936
  Likes Received: 2,085
  Trophy Points: 280
  Yawezekana walichoahidi na kutekeleza ni kwa ajili ya mafisadi, washikaji wake, wanamtandao na sio wananchi walala hoi kwa ujumla!
   
 9. AK-47

  AK-47 JF-Expert Member

  #9
  Jun 18, 2010
  Joined: Nov 12, 2009
  Messages: 1,381
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Kwa watanzania ninaowafahamu mimi hii mbona inauzika tu
   
 10. F

  Froida JF-Expert Member

  #10
  Jun 18, 2010
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,900
  Likes Received: 1,328
  Trophy Points: 280
  Labda walichaahidi kutekeleza ni kuendelea kuwa na shule za nyasi,watoto wengi mitaani,wazazi kubaka watoto,vibaka kuongezeka,mauaji ya alibino,wanachi kuvamia vituo vya polisi,wananchi kuzomea viongozi kwa kutokuridhishwa na utendaji wa serikali , kupopotoa msafara wa raisi,ikulu kumuadhiri raisi mara kwa mara kubadilisha watu wa kupokea magari,raisi kupokea baiskeli za kichina,na magari ya raisi kuchomoka matairi na kuwekewa mafuta ya taa

  kwi kwi kwi kwi kwa kwa kwa kwa haooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo,bure kabisa
   
 11. M

  Mwanaume Senior Member

  #11
  Jun 18, 2010
  Joined: Oct 11, 2009
  Messages: 122
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  yes, Kasi ilikuwepo Bwana. Don't just ignore everything. Kwani si mliona kasi ya ufisadi ilivyokuwa?. Ilikuwa kasi na ari mpya kikweli kweli, maanake haijawahi kutokea ya aina hii tangu uhuru.
   
 12. O

  OgwaluMapesa JF-Expert Member

  #12
  Jun 18, 2010
  Joined: May 24, 2008
  Messages: 10,948
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Ndugu zangu wana JF Katika pitapita zangu nimenasa kauli mbiu ya JK ya 2010 kua ni hii, Ari Zaidi, Kasi zaidi ,Nguvu Zaidi ,Tumeahidi Tumetekeleza

  Hebu tujadili
   
 13. Felixonfellix

  Felixonfellix JF-Expert Member

  #13
  Jun 18, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 1,680
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  wametekeleza wizi wa mali ya umma!!!!!!!!!!!
   
 14. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #14
  Jun 18, 2010
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,413
  Likes Received: 81,452
  Trophy Points: 280
  Lipi alilotekeleza? Msanii huyu Mwee!
   
 15. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #15
  Jun 19, 2010
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,413
  Likes Received: 81,452
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
  mwananchi akiuguza nduguze wagonjwa katika Zahanati kijijini Kisaki, Bwakila, Morogoro  [​IMG]

  wagonjwa wakiwa wamelazwa katika Zahanati kijijini Kisaki, Bwakila, Morogoro
   
 16. K

  Kishazi JF-Expert Member

  #16
  Jun 20, 2010
  Joined: Nov 14, 2007
  Messages: 485
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 45
  "Serikali haina hela" huu ndio wimbo ambao nimeusikia sana katika awamu hii. Unajua kuna watu ambao wana external locus of control, yaani wao kila kitu wanasukumizia upande mwingine, they can't accept their mistakes. Wewe unakimbilia kusingizia mapato ya TRA, gharama za serikali (ambazo for sure ni fuel costs za ma-V8 ambayo sijaona sababu mpaka kesho ya kuwa nayo mengi kiasi hiki), wakati hali ya hospitali zetu ni chovu namna hiyo. Then leo tunakuja danganywa na Rais kuwa by 2015 kila mwalimu atakuwa ana computer wakati ameshindwa kutimiza simple tasks kama elimu, huduma safi za afya na kuishia kushangilia wimbo wenye kibwagizo cha "kwa hisani ya watu wa Marekani, China, n.k."
   
 17. telele

  telele Member

  #17
  Jun 20, 2010
  Joined: Jun 4, 2010
  Messages: 29
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kaole bagamoyo
   
 18. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #18
  Jun 20, 2010
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,506
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  Bubu, hizo picha za Kisaki zinanipa depression! Tatizo ni kwamba hata CCM waje bila kaulimbiu, uchaguzi watashinda tuu. Lakini ipo siku,tena yaja upesi....
   
 19. Kimox Kimokole

  Kimox Kimokole Verified User

  #19
  Jun 20, 2010
  Joined: Jun 9, 2010
  Messages: 968
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35

  Nimeipenda hii kwakweli, na ushahidi juu
   
 20. Masika

  Masika JF-Expert Member

  #20
  Jun 20, 2010
  Joined: Sep 18, 2009
  Messages: 731
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  siasa si hasa
   
Loading...