Kauli mbiu kuelekea Simba v Al Ahly | "Total war - Point of no return"

Kusema kweli hizo kauli zingefaa kutumika kama ingekuwa ni mechi ya mwisho ya group stage ambayo ni lazima tushinde au mechi ya marudiano robo au nusu fainali ambapo ushindi ni lazima ili kuendelea mbele

Total war au point of no return katika mchezo wa pili group stage naona kama ni extreme kidogo
kweli,wamengabiki WIDA kwanza. hii slogan itumie robo
 
Wakati wengine wakijipanga namna ya kupambana na kumshinda bingwa wa Afrika na mshindi wa tatu wa vilabu duniani, Kuna wengine wanajipanga kujitoa kwenye ligi endapo hawatapendelewa na refa kuifunga team ya Mtibwa Sugar toka hapo Turiani Morogoro....

Soka la bongo linaenda kwa kasi sana miaka hii...
Hahahaha
 
Halow utani bhana raha hasa umkute anayetaniwa yupo katika hali mbaya.
 
Kila la kheri mnyama.
POINT OF NO RETURN - Komandoo kipensi atakuwa Cris Mugalu.
 
Back
Top Bottom