Kauli Mbiu hii ya SKUDU tuishi nayo Wana-YANGA, Hii ni moja ya Kauli Mbiu nyingine nzuri sana

THE FIRST BORN

JF-Expert Member
Apr 24, 2019
1,771
3,355
Kuna video moja Skudu Kijana ya Amapiano kutoka kwa Mzee Mandela.
Ametoa Kauli ambayo sisi kama Mashabiki wa Yanga Tumeikubali na Tumeipitisha.
#The SUN is YELLOW....The LAND is GREEN...The colors of the Universe!

#Hii Imeenda


Screenshot_20231123-084932_Chrome.jpg
 
Maneno hata kwenye kanga yapo tunataka makombe tunyanyue makwapa tu.
Kauli hizi ni mhimu sana...kwa mashabiki kote Duniani Mkuu
Manchester United kuna kauli wanazo ukizisikiliza mzee zinavutia sana mashabiki wanapata Matumaini hata kama Team yao haifanyi vizuri.
Mfano wanazo zifuatazo.
MANCHESTER IS MY RELIGION
MANCHESTER IS MY HEAVEN
GLORY GLORY MAN U
THERE'S NOTHING ON EARTH LIKE BEING A RED
WE WILL NEVER DIE
Hizi ni moja wapo tu na zilitolewa na watu wakubwa pale kama wachezaji na makocha na zinaishi hadi leo na Mashabiki hua wanazitumia sana na Ni kali mnoo.
 
Mbona Skudu anageuka mhamasishaji wa klabu kulikoni?
Maneno haya wanatakiwa kutamka Ally Kamwe na Privadinho yeye acheze mpira
Hujui Football
Fatilia George Best alisema mangapi pale Man U kipindi chake na yanaishi hadi leo.

Fatilia Boby Charlton Alisema Mangapi pale Man u na yanaishi hadi Leo.
 
Back
Top Bottom