Kauli kutoka bodi ya mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu soma hapa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kauli kutoka bodi ya mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu soma hapa

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by MKINDE, Sep 16, 2012.

 1. M

  MKINDE Member

  #1
  Sep 16, 2012
  Joined: Aug 16, 2012
  Messages: 43
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Wana JF naombeni nafasi nami nipande jukwaani,
  Kutokana na chanzo changu cha habari kilichopo jijini dar es salaam kilichokuwa kikidodosa dodosa kuhusu kucheleweshwa kutolewa majina ya walioomba mkopo kupitia HESLB chanzo kinaeleza kwamba mpaka ijumaa mambo yalikuwa yapo tayari kabisa na ruhusa ilikuwa imetolewa kwamba majina hayo yatolewe na watu wajionee ila sababu inayopelekea mpaka sasa majina hayo yasiwepo wazi ni kwamba kuna idadi kubwa ya wanafunzi wamekosa mikopo hiyo ya elimu ya juu na iwapo bodi itatoa majina hayo mapema basi watakabiliwa na vurugu kubwa itakayotokea eneo lile la ofisi za bodi. Mwanadodoso hakuishia hapo alipotaka kujua zaidi kwa nini wanafunzi wengi wakose mikopo majibu yaliyotoka pale ni kwamba : KAMA WAHADHIRI HADI LEO HAWAJAPATA MISHAHARA YAO SEMBUSE WEWE MWANAFUNZI?, TULIA HADI HAPO UTAKAPOONA MAJINA KWENYE WEBSITE MAMBO MENGINE NI YAKIOFISI ZAIDI....mwanadodoso mwenzangu aliishia hapo kwa hiyo tuwe wavumilivu tutaendelea kuwajuza yanayojiri maeneo hayo ya HESLB.
  Mjumbe hafungwi. asanteni
   
 2. Chebyshev

  Chebyshev Member

  #2
  Sep 16, 2012
  Joined: Aug 14, 2012
  Messages: 29
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 5
  duuh wazee waanze kuuza mashamba kabisa
   
 3. A

  Apex JF-Expert Member

  #3
  Sep 16, 2012
  Joined: Jul 31, 2012
  Messages: 429
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Helsb aaa mzee mwenywe tz na wanafunz wanakutegemea twajua ukikohoa wengne watacheka wengne watanuna lkn sasa tumekuchoka kabisaaa,kama ni kukohoa umeshachelewa 2mechoka kukubembeleza,liwalo na liwe.
   
 4. S

  Suma mziwanda kageye JF-Expert Member

  #4
  Sep 16, 2012
  Joined: Jul 5, 2012
  Messages: 214
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Waachie il wa2ondolee presha 2jue km mwaka huu 2naenda chuo au vp.
   
 5. f

  fidelis zul zorander JF-Expert Member

  #5
  Sep 17, 2012
  Joined: Mar 6, 2012
  Messages: 679
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Hahaha yaani mpaka yatoke mwaka huu tutakoma na hivi vidodosododoso...
   
 6. Root

  Root JF-Expert Member

  #6
  Sep 17, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 26,146
  Likes Received: 12,853
  Trophy Points: 280
  heheh hii ndio nchi yetu nasikia tuna Tanzanite,Diamond,Gold,Uranium,Petroleum.Gas,Coal duh sijui hili li nchi linatupeleka wapi
   
 7. E

  Esir Member

  #7
  Sep 17, 2012
  Joined: May 4, 2012
  Messages: 30
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Kama vipi Ziwa Nyasa liuzwe kwa Malawi ili watulipie ada kama treasure hakuna kitu, maana this is too-much.
   
 8. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #8
  Sep 17, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,419
  Likes Received: 81,466
  Trophy Points: 280
  On government expenditure, the BoT report shows that total expenditure for the month of July was lower by over 50 percent as it stood at Sh539.5 billion, comprising recurrent expenditure amounting to Sh424.8 billion and development expenditure of Sh114.7 billion, with the deficit felt by all ministries and departments.
   
 9. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #9
  Sep 17, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  wacha kubwabwaja kijana, ngoja majina yatoke alaf ue umekosa mkopo ujuone utakavyo toa macho
   
 10. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #10
  Sep 17, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  mbona kazi ipo mwaka huu
   
 11. A

  Apex JF-Expert Member

  #11
  Sep 17, 2012
  Joined: Jul 31, 2012
  Messages: 429
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  NingaR kama ni macho nimetoa vya kutosha,kama ni kiwewe nasema basi kumbuka ukizoea kusikia mlio wa bunduki utaogopa milio ya baruti,kama ni kupata Mungu akipenda nitapata na kama ni kukosa mafisadi wakipenda nitakosa.
   
 12. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #12
  Sep 17, 2012
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,921
  Likes Received: 453
  Trophy Points: 180
  Mshahara wa mwezi gani hawajapata!?
   
 13. SAMORE TOURE

  SAMORE TOURE Senior Member

  #13
  Sep 17, 2012
  Joined: Aug 5, 2012
  Messages: 116
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mbona hizi habar zinakanganya mwingine kasema jana mikopo imecheleweshwa kwa sababu baadh ya vyuo bado kupangiwa mikopo.....wewe kwa sababu bodi inaogopa migomo......au kila m2 ana heslb yake
   
 14. M

  Mtz.mzalendo JF-Expert Member

  #14
  Sep 17, 2012
  Joined: Jul 22, 2012
  Messages: 357
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi mafisadi wa heslb waliofichuliwa wamefanywa nini vile?
   
 15. fugees

  fugees JF-Expert Member

  #15
  Sep 17, 2012
  Joined: Aug 13, 2012
  Messages: 2,587
  Likes Received: 390
  Trophy Points: 180
  Mliambiwa elimu bule mkabisha sasa ngoja bodi iwaneshe yamoyoni ya ccm. Nchi ni tajiri af mwanafunzi anyimwd mkopo.
   
 16. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #16
  Sep 17, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Acha kukata tamaa wewe kila mtu ata lamba kidogo angalau kila mmoja aonje!
  ondoa shaka kijana HESLB wamepewa fedha za kutosha mwaka huu
   
 17. z

  ze dudu01 JF-Expert Member

  #17
  Sep 17, 2012
  Joined: Aug 16, 2012
  Messages: 235
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Msimamo Wangu ni Uleule Kama nilivyosema mwanzo "KWA SASA BODI YA MKOPO HAINA PESA YA KUTOSHA KULIPIA ADA KILA MWANAFUNZI " HASAHASA WALE NDUGU ZANGU WA NON-PRIORITY KAMA NILIVYOWAAMBIA MWANZE KUJICHANGACHANGA KWA SASA HIVI LA SIVYO MTAAMBULIA MAUMIVU MAKALI MITHILI YA MTU ALIYENG'ATWA NA NG'E..!!
  Kwa wale ndugu zangu wa Priority eebhana eeh... MKOPO unapata wewe usiwe na wasiwasi kabisa ingawa wanaweza kupa kulingana na vigezo vyao wanavyoangalia mfano
  1. Shule uliYOSOMA
  2. Kama ulituma Pasi Ya kusafiria badala ya kitambulisho cha mpiga kula umekwisha utapewa ka % kadogo mfano. 0,10,20, or 30
  3. Kwenye Birthcertificate wataangalia Kazi za wazazi wako..mfano engineer, businessman/woman..kama kawaida hizo % za hapo juu zinakuhusu...

  NB:
  1.kwa wale waliojaza Kozi za utabibu, kilimo, engineers na ualimu wa sayansi Hapa hawataangalia hivyo vigezo Vyao hapo juu So mwisho Wa siku Utalamba 100%..!!
  2.Na wale ndugu zangu wa Non-priority wengi wenu mtakosa mkopo Hiyo ni Hakika ingawa kuna wengine wamepatapata % ndogondogo kama nilivyo orodhesha hapo Juu !!
  3. Rasmi kitu mpaka tarehe 1-3 mwezi wa 10
  OVERRRR....
   
 18. N

  NIMEKIMBIA CCM Senior Member

  #18
  Sep 17, 2012
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 193
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hapana jamani mimi ni mfanyakazi wa hapo bodi ya mikopo ila ni kwamba imeonekana idadi kubwa ya wadahiliwa walikimbilia ualimu hivyo inatukoroga akili mpaka sasa,pia majibu nazani mpaka leo juma tatu saa sita kila kitu kitakua wazi ila hakuna mwanafunzi mwenye haki ya kupata mkopo atakosa ila ikitokea umekosa basi ujue huna vigezo yaani
  ---wewe sio kipaombele cha taifa mf digree ya sheria,kiswahili nk
  ----imeonyesha wazazi wako wana uwezo kulingana na education background yako
  -----na mengineyo mengi
  AHSANTENI
   
 19. z

  ze dudu01 JF-Expert Member

  #19
  Sep 17, 2012
  Joined: Aug 16, 2012
  Messages: 235
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  una uhakika na iyo tarehe ulioisemaaa mi information zote nazipata kutoka kwa bosi wako..sasa mkuu we leta utani utaona hili jukwaa chungu
   
 20. M

  Msafwa wa swaya JF-Expert Member

  #20
  Sep 17, 2012
  Joined: Aug 4, 2012
  Messages: 426
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Tunashukuru mkuu kwa kutupa moyo acha tusubirieeeeeee maana watoto wa wakulima bado tunasota mtaan hatujui litakalo jili maana unaweza kwenda kuanza chuo kumbe umelamba NIL lazma utarudi kulima nyumban ili kujipanga zaidi.
   
Loading...