beth
JF-Expert Member
- Aug 19, 2012
- 3,879
- 6,356
Baada ya kampuni ya Nike kusitisha mkataba na bondia wa Ufilipino, Manny Pacquiao kufuatia kauli yake kuwa mashoga ni wabaya zaidi ya wanyama, mall maarufu ya jijini Los Angeles, Grove imempiga marukufu.
Mmiliki wa mall hiyo, Rick Caruso amedai kuwa uamuzi huo umechukuliwa kwa kuwa watu wengi wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja ni wateja wa mara kwa mara wa mall hiyo na kwamba wana haki ya kujisikia vibaya.
“Hivyo Manny Pacquiao hakaribishwi tena,” alisema.
Kauli hiyo iliwakasirisha watu wengi wanaojihusisha na mapenzi hayo ilimfanya aombe radhi.