Kauli, "kibaraka wa mabeberu na katumwa na mabeberu" zimeishia wapi?

mshale21

JF-Expert Member
Apr 8, 2021
2,050
4,903
Wakuu habarini?

Awamu ya tano kulitokea maneno ya vijembe na kejeli yaliyotupiwa kwa baadhi ya viongozi wa upande wa Vyama pinzani Kama vile katumwa na mabeberu, kibaraka wa mabeberu huku upande wa chama tawala ukijinasibu kuwa ni wazalendo wa kweli na watetezi wa wanyonge!

Awamu ya sita taratibu maneno yahusianayo na mabeberu yanatokomea baada TU ya Raisi aliyepo kuwa na ukaribu na mahusiano na wale walioitwa mabeberu huku akiunga mkono juhudi ya kupambana na UVIKO-19 kwa kuleta chanjo zinazotoka kwa mabeberu.

Sasa hivi imegeuzwa kutoka kutumiwa na mabeberu mpaka magaidi!

Awamu ya tano aliyekuwa akijiita mwanaharakati huru aliongoza mapambano kuhakikisha wananchi wa TZ wanawatambua wapinzani Kama watu wanaotumiwa wa wazungu kupora Mali zao, awamu ya sita baada ya serikali kuwa na mahusiano na mabeberu, sasa hivi ni zamu ya kamanda Siro na PoliCCM kuhakikisha kwamba wananchi watake wasitake watamtambua yule mwenye msimamo wake juu ya katiba mpya ni gaidi na chama chake Kama chama Cha magaidi!

Sasa hii habari ya kutumwa na mabeberu imeishia wapi?
 
Hapo ndipo imesalia nguvu ya mamba.
 
Bado tunatawaliwa na watu wasiofaa!
 
Mwendo huo tulishaumaliza sasa ni mwendo wa reception parties na photo shoot baada ya meetings na mabeberu tunajenga uchumi wa kati uliokuwa unakuwa kwa asilimia saba na baada ya miezi minne ukaporomoka ghafla mpaka asilimia 5.
 
Tz inaendeshwa kwa propaganda sana
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom