Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,596
- 45,225
Hivi kwann hamtuamini tukiwaambia wewe ni wa 2 jomoniii😂😂😂Wewe ni mwanaume wangu wa pili toka nianze huu mchezo (kumbe ni wa 1000K)
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi kwann hamtuamini tukiwaambia wewe ni wa 2 jomoniii😂😂😂Wewe ni mwanaume wangu wa pili toka nianze huu mchezo (kumbe ni wa 1000K)
Sent using Jamii Forums mobile app
wa pili wakati hutaki nishike cm yako, ukienda hata haja ndogo, ushaweka pateni jero kidogo!!Hivi kwann hamtuamini tukiwaambia wewe ni wa 2 jomoniii
vitu vizuri vya bongoland, ni upumbavu wa m- koreaKuna vitu flan ni unique sana vinapatikana bongoland tu
Upumbavu flan iv lakn ni entertainment sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Mangi mmhh...wewe sio mtu mzuri kabissaa😅
Mimi kwakweli nusukaputi sipendi..
Sasa si ndiyo inapita kwa pembeni.Mimi kwakweli nusukaputi sipendi..
Mmmh🙄🙄Sasa si ndiyo inapita kwa pembeni.
Daby naweee
Watoto wanachungulia.Daby naweee
Wanajifunza kidogo bwanaWatoto wanachungulia.
Ya upchi
Ha haaa mi pia nimewaza hiyo pembeMmhh jamaniii pembe ipi
Me niweza atakuwa na pentagon labda....hahahaha sio kwa pembe hiyo jomoniiiHa haaa mi pia nimewaza hiyo pembe