Pesa ambazo wizara ya afya inazikosa na kufilisika kazifuateni kwenye hospitali za makanisa.Ni wakati wa kuanza kuwawajibisha viongozi kwa kauli zao za dharau. He should go. Ngojea tukaichapishe hiyo kauli tumbandikie mlangoni kwa ofisi yake. Anafikiri kuongoza wizara ya afya ni kuidhinisha hela za kupeleka vigogo nje tu, aangalie sasa wizara yake imefilisika, hamna vifaa mahospitalini, wanafunzi muhimbili hawana chakula ( hivi ukimnyima mtu chakula kwa siku saba weye si muuaji?)
Matatizo ya HUDUMA za JAMII nchi hii hayatakwisha kwa kuhangaika na watu.
kuna nini tena cha kumkawisha?
Alafu kuna kauli nyingine sijui atakuwa aliisema nani "Nani aliwaambia muwe madr"
Ivi izi kauli PM hanazo nini?Maana kuna haja ya kumwambia ili ajue.
TAZARA nao wanataka Nundu asepe hawa wataaribu hii ya madr na kusababisha akina Haji kukomaa
Pole sana Sent Item. Kumbuka madoctor wengi ni walipata dv ngapi Six.
nani huwa anampa masharti raisi wetu kuhudhuria misiba? Acha basi kuropoka kama haupo tz unaaza kati badala ya mwanzo wa issue....madocta wanataka kutatwatatizo vifaa hakuna wala dawa hawako tayari kuona watu wanakufa kwa kukosa dawa
Huyo alikuwa Blandina, na alidiriki kwenda mbali zaidi na kumshukuru baba yake aliyemshauri asomee uhasibu maana udaktari haulipi licha ya kuwa alikuwa mzuri kwenye PCB!
#@!%$*&^()f>c u%^&kwa nini asianze kufa mama yako au baba yako kwanza?
i wonder if at all u'v brain!Unauliza rais ni nani kweli wewe chai ya rangi. Wakifukuzwa hao mawaziri ndiyo matatizo ya madaktari yataisha au wakija mawaziri wapya watakuja na pesa za kutoka mfukoni mwao kuwapa hao madaktari makajanja wakati bunge la bajeti limeishapita.? Punguza gongo wew
e.
Kuna watu wengi wamekuwa wakihoji kwa nini Waziri wa Afya ajiuzulu? Hata Waziri Mkuu, Mizengo Pinda nae alihoji swali hili wakati akizungumza na Waandishi wa habari hivi majuzi na akaenda mbali kwa kusema Waziri Mponda ni mgeni pale Wizarani na hadly ana kama mwaka mmoja ofisini. Kwa wale ambao hamjui kiini cha Madaktari kumchukia huyu Waziri napenda tu niwaambie kauli yake moja aliyoitoa wakati akihojiwa na waandishi wa habari kabla ya ule mgomo wa kwanza. Alisema hivi: Nanukuu
Mwisho wa kunukuu!
Madaktari ni makanjanja tu. Sasa itakuwa mchezo kila idara ya serikali iwe inampa rais masharti huo ni upuuzi
I think he was right. Naamini anawajibika kwa wapiga kura wake na kwa bosi wake aliyempa kibarua cha uwaziri. Watu hawapendi kuambiwa ukweli eh!