Bodabodafasta
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 372
- 364
Hakuna uhusiano bila urafiki; ila hakuna urafiki Kati ya mwanaume na mwanamke either mmoja au wote mnavumiliana ila ipo siku mtabinjuana tu
Ishu yangu ni hii umemtongoza mwanamke na anaonekana kukuelewa sema ndo hivyo anaona kama mapema sana kukubalia anakuambia acha tuwe marafiki au niña mtu ila tuwe marafiki tu
hivi hiki kipindi cha urafiki watu huwa mnajadili nini/mnakuwa mnamaintain vipi uhusiano wenu?
Maana Mimi huwa nampotezea mpaka anapopata akili anakuuliza mbona kimya nampa ukweli mchungu siwezi kuwa rafiki na wewe kwa nini niteseke? mwenyewe anaamua ku surrender au anajiachia zake maana hakuna jinsi.
Njia nyingine huwa najifanya nami friend kwa mda fupi then namuita kwangu na force game akinitolea nje basi na namba yake nafuta.
Tupeane uzoefu mnaishije kwenye friend zone maana kuna mtu nimetoka kumuelewa sitaki mpotezea naye naona ameanza mambo ya friend zone