Kauli hizi zinasaidiaje utawala wa sheria? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kauli hizi zinasaidiaje utawala wa sheria?

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by MpigaFilimbi, Dec 11, 2009.

 1. MpigaFilimbi

  MpigaFilimbi JF-Expert Member

  #1
  Dec 11, 2009
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 1,171
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 133
  WanaJF inaonyesha kuwa katika nchi hii kuna wakati au mazingira ambayo sheria inaruhusiwa kuvunjwa. Na kwa mantiki hii, basi kuna watu wapo juu ya sheria kama tunavyoshuhudia siku zote, lakini huwa haisemwi hadharani au haijaandikwa ila wahusika wanapractice. Nimekutana na hii kauli ya Lukuvi kama alivyonukuriwa na Majira kuhusu kuziachia daladala zisizo na leseni zioperate kuwapeleka watu kwenye sherehe za uhuru. Uhuru huo una maana gani kama mpaka sasa hatuwezi kufuata sheria?
  Habari zaidi soma Majira
  http://www.majira.co.tz/index.php?option=com_content&view=article&id=2253:daladala-bubu-ruksa-kesho&catid=34:kitaifa-tanzania&Itemid=57
   
 2. Tumain

  Tumain JF-Expert Member

  #2
  Dec 11, 2009
  Joined: Jun 28, 2009
  Messages: 3,158
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Anafaa kushtakiwa kwa ku-advocate watu kuvunja sheria kama kiongozi wa kitaifa...aibu, ujinga na unazi
   
 3. Serendipity

  Serendipity JF-Expert Member

  #3
  Dec 12, 2009
  Joined: Jan 24, 2009
  Messages: 475
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Kauli hizo hazijengi bali zina angamiza kabisa!
   
Loading...