Kauli hii ya Rais Magufuli inafurahisha na kuchekesha lakini pia yenye kutoa tahadhari.

Freed Freed

JF-Expert Member
Jun 27, 2017
6,230
6,469
Rafiki yangu amemnukuu Mheshimiwa Rais Dr Magufuli akisema" Nguo yako ikikubana usiigawe itakuenea tu na ukiichoka usigawe kwa mtu ipo siku utairudia kuivaa" mwisho wa kunukuu.

Niwaachie ninyi watu wa fasihi mukktadha wa kauli hii ya jemedari wetu.
 
Back
Top Bottom