Kauli hii ya Rais Magufuli inaashiria kuwa kuna matamshi mengine anatoa kwa kutumia mamlaka yake vibaya

G Sam

JF-Expert Member
Apr 20, 2013
11,555
35,880
Kiukweli hii si kauli ya Rais mwana demokrasia na ambaye amepita kwa demokrasia.

Haya ndiyo mambo yanayomfanya Job Ndugai kufanya mambo kwa ubabe kwani ana hakika ndiyo njia sahihi kwa kuangalia mfumo wa kiuongozi awamu hii.
1.jpg
 
Watanzania Wazalendo tutaendelea kuililia mwanzo mwisho Katiba yetu Mpya tuliyo ipendekeza wenyewe miaka ya 2010's na hivyo kuondokana na ile ya Ccm ya mwaka 1977.

Kuna umuhimu wa kuwa na uwiano unao karibiana kwenye mihimili yote 3! Kulimbikiza madaraka karibia yote kwa mtu mmoja tu, madhara yake ndiyo haya.
 
Katiba hii mliyopiga posho mkakimbia
 
Watanzania Wazalendo tutaendelea kuililia mwanzo mwisho Katiba yetu Mpya tuliyo ipendekeza wenyewe miaka ya 2010's na hivyo kuondokana na ile ya Ccm ya mwaka 1977.

Kuna umuhimu wa kuwa na uwiano unao karibiana kwenye mihimili yote 3! Kulimbikiza madaraka karibia yote kwa mtu mmoja tu, madhara yake ndiyo haya.
Huo ni utani tu wa JPM akiwa jukwaani. Kula za maoni lazima zipigwe. Acheni utoto.
 
Kura za maoni za nini huku umisha ambiwa hawatakiwi kuonekana wakienda kugombea,halafu kura za maoni kwa kipindi hiki ni kama hazipo maana majina ya kupigiwa kura za maoni yanachaguliwa na CC ya CCM
 
Kiukweli hii si kauli ya Rais mwana demokrasia na ambaye amepita kwa demokrasia.

Haya ndiyo mambo yanayomfanya Job Ndugai kufanya mambo kwa ubabe kwani ana hakika ndiyo njia sahihi kwa kuangalia mfumo wa kiuongozi awamu hii.
View attachment 1466875
matumizi mabaya ya madaraka.
hili halina kinga ya katiba baada ya 2020 au 2025.
tunasubiri kwa hamu muda huo ufike maana mahasimu wapo ndani na nje ya chama.
 
Back
Top Bottom