SIO KAULI YA KIDEMOKRASIAKiukweli hii si kauli ya Rais mwana demokrasia na ambaye amepita kwa demokrasia.
Haya ndiyo mambo yanayomfanya Job Ndugai kufanya mambo kwa ubabe kwani ana hakika ndiyo njia sahihi kwa kuangalia mfumo wa kiuongozi awamu hii.
View attachment 1466875
Tunaye Rais wa ajabu @ Tundu Antipas LissuKiukweli hii si kauli ya Rais mwana demokrasia na ambaye amepita kwa demokrasia.
Haya ndiyo mambo yanayomfanya Job Ndugai kufanya mambo kwa ubabe kwani ana hakika ndiyo njia sahihi kwa kuangalia mfumo wa kiuongozi awamu hii.
View attachment 1466875
Mkuu kunawanaa hapa hawachelewi kukusonteshea tcraMagufuli ni mshamba mshenzi.
Kwani kura za maoni hazitapigwa tena?Acheni kupotosha umma.SIO KAULI YA KIDEMOKRASIA
Katiba hii mliyopiga posho mkakimbiaWatanzania Wazalendo tutaendelea kuililia mwanzo mwisho Katiba yetu Mpya tuliyo ipendekeza wenyewe miaka ya 2010's na hivyo kuondokana na ile ya Ccm ya mwaka 1977.
Kuna umuhimu wa kuwa na uwiano unao karibiana kwenye mihimili yote 3! Kulimbikiza madaraka karibia yote kwa mtu mmoja tu, madhara yake ndiyo haya.
Kichwa kilishaharibika kwa bangi uanatafuta sababuVitu vingine ukivisikia au kusoma utaharibu kichwa tu!
Huo ni utani tu wa JPM akiwa jukwaani. Kula za maoni lazima zipigwe. Acheni utoto.Watanzania Wazalendo tutaendelea kuililia mwanzo mwisho Katiba yetu Mpya tuliyo ipendekeza wenyewe miaka ya 2010's na hivyo kuondokana na ile ya Ccm ya mwaka 1977.
Kuna umuhimu wa kuwa na uwiano unao karibiana kwenye mihimili yote 3! Kulimbikiza madaraka karibia yote kwa mtu mmoja tu, madhara yake ndiyo haya.
Usifikiri uchafu uliokichwani mwako kila mtu anao. Kwanini hujawaza chakula?Kichwa kilishaharibika kwa bangi uanatafuta sababu
Huo ni utani tu wa JPM akiwa jukwaani. Kula za maoni lazima zipigwe. Acheni utoto.
Katiba hii mliyopiga posho mkakimbia
Kura za maoni za nini huku umisha ambiwa hawatakiwi kuonekana wakienda kugombea,halafu kura za maoni kwa kipindi hiki ni kama hazipo maana majina ya kupigiwa kura za maoni yanachaguliwa na CC ya CCMHuo ni utani tu wa JPM akiwa jukwaani. Kula za maoni lazima zipigwe. Acheni utoto.
matumizi mabaya ya madaraka.Kiukweli hii si kauli ya Rais mwana demokrasia na ambaye amepita kwa demokrasia.
Haya ndiyo mambo yanayomfanya Job Ndugai kufanya mambo kwa ubabe kwani ana hakika ndiyo njia sahihi kwa kuangalia mfumo wa kiuongozi awamu hii.
View attachment 1466875
Hatakiwi kufanya utaniHuo ni utani tu wa JPM akiwa jukwaani. Kula za maoni lazima zipigwe. Acheni utoto.