Kauli hii ya Paul Makonda inatokana na ulevi wa madaraka uliopindukia dhidi yake

Barack Obama jr

JF-Expert Member
Dec 23, 2017
592
982
"... Hawa ndio vichaa tunaohangaika nao, ebu toka hapa...

Msinijaribu, Ardhi Kinondoni nitawashughulikia,...hadi mtajuta kuzaliwa,.... Mimi nikisimama hapa amesimama Mungu,... Sikuletwa hapa kwa bahati mbaya,... Nitawatia ndani wote, na hakuna mtetezi wenu,.. Wewe mama unanisikia, hauna wa kukutetea..." By Paul Makonda

My take; kauli hii aliitoa December 2016 wakati wa ziara zake za kikazi katika Mkoa wa Dar es salaam, moja ya kauli mbovu kati ya nyingi mbovu na za hovyo kutolewa na kiongozi wa umma, kauli iliyokosa utu, heshima na nidhamu kwa wale anao waongoza, huyu RC ni mzigo kwa Watanzania.
 
Ufipa kumejiri nini mbona mnafukua makaburi?!!!
 
Ninasikia bibi wa taifa mamma wa stone amelazwa kwenye hospitali mojawapo hapo karibu na Leaders, anasumbuliwa na moyo.

Karibu na Leaders kuna hospitali gani?
 
Cheo siku zote ni dhamana,huyu kiongozi ajue siku moja atakuwa chini na wale anaowadharau watakuwa juu
 
"... Hawa ndio vichaa tunaohangaika nao, ebu toka hapa...

Msinijaribu, Ardhi Kinondoni nitawashughulikia,...hadi mtajuta kuzaliwa,.... Mimi nikisimama hapa amesimama Mungu,... Sikuletwa hapa kwa bahati mbaya,... Nitawatia ndani wote, na hakuna mtetezi wenu,.. Wewe mama unanisikia, hauna wa kukutetea..." By Paul Makonda

My take; kauli hii aliitoa December 2016 wakati wa ziara zake za kikazi katika Mkoa wa Dar es salaam, moja ya kauli mbovu kati ya nyingi mbovu na za hovyo kutolewa na kiongozi wa umma, kauli iliyokosa utu, heshima na nidhamu kwa wale anao waongoza, huyu RC ni mzigo kwa Watanzania.
Vipi tena, umetumwa na makanjanja wa ardhi nini?
 
Ninasikia bibi wa taifa mamma wa stone amelazwa kwenye hospitali mojawapo hapo karibu na Leaders, anasumbuliwa na moyo.

Karibu na Leaders kuna hospitali gani?
Ipo HOSPITAL ya binafsi ya Moyo karb na Leaders club
Ni Hospital nzuri

Bi Mkubwa wangu alishawah kutibiwa pale
 
We ukishaona mwanaume ana kalio kubwa kama lile ujue akili zimehamia huko hazipo kichwani.....
Limekalia kulialia tu kama zuzu kwenye makanisa, mbona kwenye msiba wa wanajeshi wetu watatu halikulia?, ni kama toto jinga
 
Kabla ujasema maneno yake, tuambie huyo mmama alifanya nini Kwanza??
 
Back
Top Bottom