Kauli hii ya huyu mwanamke sijaielewa, Ukija kwangu marufuku kunywa pombe!!!!!

Hapana mkuu sitapungukiwa kitu
Kuna vitu wanaume huwa tunafanya sisi tunaona ni sawa lakini sio sawa aisee....wanawake wanavumilia mengi sana....umepiga balimi zako unarudi usiku unanuka pombe bado atakukiss na mzigo utapiga...hebu jiweke kwenye nafasi yake...umekaa gheto anakuja ameshapiga balimi kadhaa....viroba au Konyagi...utampokea umkumbatie na kumla mate??? ni wanaume wachache sana watakubaliana na hiyo harufu....sio kwamba hapendi unywe....anataka ukifika "Afurahie mapenzi" tena ukifika upige mswaki asb, mchana na jioni.....sio kumpulia mabalimi yako mpk mwenzako analewa bila kunywa!!
 
Mkuu sasa kutokunywa pombe kuna ubaya mi nilijua ataki umtembelehe jua anakusaidia sana labda anajua kuwa pombe ndio adui wa maendeleo yako ndio maana ataki unywe jua hivyo ni vikwazo kama vya UN ukijipindu unaongezewa vikwazo anza kuwa baba kununua majukumu ata kama ni kilo moja ya unga au sukari wanawake wanapenda huduma ata ikiwa ndogo kwao nakuambia jitahidi huduma vizawadi vikwazo vitapungua
Hujamuelewa mtoa mada..

Wengi humu mna tatizo la kusoma juu juu ka mnakimbizwa...
 
HUJATOMASWA UNACHANUA! Mwenzako hapendi harufu ya pombe. Kama ukinywa hakikisha umeshapiga mswaki huko huko usimletee mwenzio shombo...
 
kwanza we mario pili we ni rofaa haiwekan uzae na mwanamke afu akuzuie kumuona mwanao, tatu wewe ni jinga jinga flan hiv kwanini umpe karaha ya pombe mwenzako wakati yeye hatumii na unaenda kwake sijapata ona mtu asiye jielewa kama wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu sijampa kero ebu soma thread yangu vizuri utanielewa,pia mm sio Mario coz naishi maisha yangu na sikai nae muda mrefu sasa ,na kabla hajapata kazi mi ndo nlikua namlea wakati huo nipo chuo,but mwenzangu kabahatika kuajiriwa mapema na salary ya nguvu so kuna vimaneno maneno vinaibuka dats y hata kukaa nae nyumba moja naona ataniona mzigo tu so napambana na hali yangu ninapopata kidogo ndo kama hivyo naenda kusalimia familia napewa na masharti kabisa
 
Una kipato kidogo halafu bado unakunywa pombe....!!!

Ndio maana mchuchu wako kakuona hamnazo...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom