Kauli hii ya Freeman Mbowe inaashiria kitu gani CHADEMA?

Mbona unaweka Za Dr.Slaa na Lowassa pekee?? Weka za upinzani wote Ili ujue watu wangapi wana probability ya kupigia upinzani whether Chadema huku Bara na ACT huko Zanzibar!!

2020 usihesabu maana hakuna chaguzi pale ilikua outright robbery..... ila tukiwa competitive utakubali tokea 2010 upinzani Umeenda Neck-and-Neck na CCM na kama alishinda CCM basi gape ni 50-60 so upinzani Una kazi ya kuongeza 10% tu ya kura zake iingie ikulu. Kuliko mnavyodai kwamba cjui hatupo vijijini sijui hatuaminiki afu kura zikipigwa ndio hatushuki 40%?
Ndo nasema kwamba si KWAMBA wapinzani wote wanapenda CHADEMA wapo wanaopenda wengine
 
Siasa za matusi zinshusha sana utu wa mtu. Mtu anaweza kua na hoja kweli ila ule uwasilishaji wa kupayuka na matusi mengi na hoja chache ndo tatizo.

Mi naona ni sawa alichoongea.
 
CHADEMA iwafundishe vijana wake itikadi inayiendana na utu na heshima

wafundishwe kuwa hoja hujibiwa kwa hoja na siyo kashfa, matusi na udhalilishaji

CCM imejijengea misingi imara ya itikadi kwa vijana wake

Iko hivi boss, msidhani sisi ni wageni hapa nchini, cdm ina vijana na wajenga hoja kwa kiwango kikubwa. Ilikuwa hivi, baada ya ccm kuanza kuona wanazidiwa hoja na kuzidiwa kwenye box la kura, hujuma ya wazi dhidi ya wapinzani ikaanza, midahalo ikaondolewa na yote hayo tumeyaona kwa macho yetu. Huku mitandaoni wakaja akija Nape na programu ya kujibu mapigo, hapo tulianza kushuhudia siasa chafu za kuvuruga mijadala na personal attack za wazi toka kwa wanaccm. Tumeona Vyombo vya dola vikitumika waziwazi kuumiza wapinzani lengo ikiwa ni kuchafua haiba za wapinzani hasa cdm.

Hii milio ya kijinga mnayotoa hapa ni baada ya wapinzani kujibu hoja zenu kwa njia inayowaacha na maumivu kwani humu mitandaoni hamna nguvu ya vyombo vya dola. Na sababu hasa ya ccm kutumia mabavu dhidi ya wapinzani ni baada ya kuona haina ushawishi tena kwa umma kwani ni chama cha kizazi kilichopita, huku kikiwa hakikubaliani na ukweli huo.
 
Hivi huko Twitter huwa mnatafuta nini?

Mkuu ni sawa na watu kwenda kwenye mpira, kisha ushangae wanaoenda disco. Huku jf tuko, na twitter tunaingia maana ni app zilizo kwenye smartphone zetu, na sio mahali tunasafiri. Pia ni vyema kupata uzoefu na michango ya watu wa majukwaa mengine.
 
Iko hivi boss, msidhani sisi ni wageni hapa nchini, cdm ina vijana na wajenga hoja kwa kiwango kikubwa. Ilikuwa hivi, baada ya ccm kuanza kuona wanazidiwa hoja na kuzidiwa kwenye box la kura, hujuma ya wazi dhidi ya wapinzani ikaanza, midahalo ikaondolewa na yote hayo tumeyaona kwa macho yetu. Huku mitandaoni wakaja akija Nape na programu ya kujibu mapigo, hapo tulianza kushuhudia siasa chafu za kuvuruga mijadala na personal attack za wazi toka kwa wanaccm. Tumeona Vyombo vya dola vikitumika waziwazi kuumiza wapinzani lengo ikiwa ni kuchafua haiba za wapinzani hasa cdm.

Hii milio ya kijinga mnayotoa hapa ni baada ya wapinzani kujibu hoja zenu kwa njia inayowaacha na maumivu kwani humu mitandaoni hamna nguvu ya vyombo vya dola. Na sababu hasa ya ccm kutumia mabavu dhidi ya wapinzani ni baada ya kuona haina ushawishi tena kwa umma kwani ni chama cha kizazi kilichopita, huku kikiwa hakikubaliani na ukweli huo.
Taja kama watafika hata 10
 
Wewe ni mpumbavu,kwa hyo CCM hamtukani? Pia unataka kutuambia CHADEMA ndo walio saini ile barua ya wabunge 19? Tena mwingine akatolewa jela usiku na asubuh akaenda kula kiapo
Mwenye Chama chenu kawakataza matusi umeshayaleta hapa , Kweli mbuzi hapigiwi Gitaa
 
Taja kama watafika hata 10

Unashinda twitter kisha unataka utajiwe watu. Unamjua Jummane Abdallah wa Mwanza, Omari Maneno wa Tanga unamjua? Ninapokuambia siku hizi una utoto wala sisemi kwa bahati mbaya. Uko na list yako ya watu wawili watatu ambao wanakupa ukweli wako huko twitter, kisha unasema unatukanwa, na vile unamshobokea kigogo basi ndio unakuja huku jf kujitutumua kuwa una jipya. Ni hivi, acha utoto boss maana ww ni mzee sasa.
 
Mwenye Chama chenu kawakataza matusi umeshayaleta hapa , Kweli mbuzi hapigiwi Gitaa

Mwenye chama kuwakataza matusi wanaomtii na anaowalipia bundle la kuingia mtandaoni, hapa ukileta upuuzi unapewa ukweli wako ambao utasema ni matusi ukishiriki kwa Mbowe.
 
Wewe ni hovyo kabisa, wanao nao wanajisifu eti wana baba? Kama hii ndo akili yako basi wewe ni baba wa kwanza mjinga!

CCM wanabaki madarakani kwa sababu ya nini?????

Ni nani asiyejua ni nini kinawabeba ccm? CcM inabaki madarakani kwa sababu ya uhuni, matumizi ya polisi BASI!

Bila polisi ccm hawawezi kushindana na ngedere! Kikianzishwa chama cha matumbili na manyani kikashindanishwa na ccm kwenye uchaguzi mkuu polisi wala chombo chochote cha dola kisiingilie amini amini nakuambia nchi hii tumbili wanashinda mapema asubuhi kwa ushindi wa 99%
Ungeweza kumjibu hoja yake bila hata ya kutumia lugha kali.....hoja yako ni ya msingi sana lakini imetiwa doa na jazba....
 
Unashinda twitter kisha unataka utajiwe watu. Unamjua Jummane Abdallah wa Mwanza, Omari Maneno wa Tanga unamjua? Ninapokuambia siku hizi una utoto wala sisemi kwa bahati mbaya. Uko na list yako ya watu wawili watatu ambao wanakupa ukweli wako huko twitter, kisha unasema unatukanwa, na vile unamshobokea kigogo basi ndio unakuja huku jf kujitutumua kuwa una jipya. Ni hivi, acha utoto boss maana ww ni mzee sasa.
Bwana Mdogo nakuhurumia sana
 
Haya ni matunda ya Ziara yake na Mheshimiwa Rais, daa! Hakuna kitu sipendi kama kuitana Nyumbu!
 
CHADEMA ina Vijana wa hovyo sana nakwambia na kilichowasaidia ni kuwaunga mkono tu kipindi cha Dikteta nje ya hapo they are empty in their heads

Matusi ndo yamejaa

Mtu Kama mdude Au Martin do you think they can deliver any message without abusive language?

Chama Kina kazi kubwa wasijikite kukimbilia madaraka kwanza wajiimarishe wapunguze uhuni ni mwingi mno ndani yao,

Chama kimejaa kutekana! Kufoji saini mbali mbali , eti wabunge 19 wanafoji saini ya katibu mkuu na tunahabarishwa hivo si aibu hii???

We Sikiliza hata mahojiano mbali mbali yanayoenda live Au angalia ukija na hoja mbadala wao ni matusi tu!!

Ila wakitukanwa wao onhoooo

Nachoshukuru mwenyewe mwenye Chama kaliona hilo

CCM inabaki madarakani kwasababu ya vyama ' uchwara' kama hivi

Britanicca
CCM inabaki madarakani Kwa kutegemea Dola hakuna kingine kinawaafanya wabaki madarakani
 
Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe amenukuliwa wakati wa kuhutubia baraza kuu la chama kuwa chama kinatakiwa kuwa kinyenyekevu kwa vyama vingine na kuheshimu mawazo ya vyama hivyo na chadema ijikite kujenga harakati za kweli na sio kutukana vyama vingine mtandaoni na kwenye mikutano.

1. Je Kauli hii inagusa mtindo mpya wa majadiliano kwenye twitter maarufu kama space ambapo viongozi wa juu wa chadema wamesikika kutoa matamshi yao huko?

2. Mpaka kipindi cha sasa CHADEMA haitekelezi harakati za kweli katika siasa za Tanzania?

3. Chadema imefanya makosa kukaa pembeni ya kamati iliyoundwa na mheshimiwa rais?

4. Matamshi haya yanaashiria nini katika mahusiano ya uongozi wa juu wa Chadema?

Sisi ni kukaa na kusubiri
Asante Mbowe kwa hekma hizi.
 
Angalau nimeanza kumuelewa Freeman Mbowe,kama ndo hivi,nafikiria kujiunga na CDM
 
Back
Top Bottom