Kauli hii ya Freeman Mbowe inaashiria kitu gani CHADEMA?

LUS0MYA

JF-Expert Member
Aug 4, 2011
861
1,097
Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe amenukuliwa wakati wa kuhutubia baraza kuu la chama kuwa chama kinatakiwa kuwa kinyenyekevu kwa vyama vingine na kuheshimu mawazo ya vyama hivyo na chadema ijikite kujenga harakati za kweli na sio kutukana vyama vingine mtandaoni na kwenye mikutano.

1. Je Kauli hii inagusa mtindo mpya wa majadiliano kwenye twitter maarufu kama space ambapo viongozi wa juu wa chadema wamesikika kutoa matamshi yao huko?

2. Mpaka kipindi cha sasa CHADEMA haitekelezi harakati za kweli katika siasa za Tanzania?

3. Chadema imefanya makosa kukaa pembeni ya kamati iliyoundwa na mheshimiwa rais?

4. Matamshi haya yanaashiria nini katika mahusiano ya uongozi wa juu wa Chadema?

Sisi ni kukaa na kusubiri
 
CHADEMA ina Vijana wa hovyo sana nakwambia na kilichowasaidia ni kuwaunga mkono tu kipindi cha Dikteta nje ya hapo they are empty in their heads

Matusi ndo yamejaa

Mtu Kama mdude Au Martin do you think they can deliver any message without abusive language?

Chama Kina kazi kubwa wasijikite kukimbilia madaraka kwanza wajiimarishe wapunguze uhuni ni mwingi mno ndani yao,

Chama kimejaa kutekana! Kufoji saini mbali mbali , eti wabunge 19 wanafoji saini ya katibu mkuu na tunahabarishwa hivo si aibu hii???

We Sikiliza hata mahojiano mbali mbali yanayoenda live Au angalia ukija na hoja mbadala wao ni matusi tu!!

Ila wakitukanwa wao onhoooo

Nachoshukuru mwenyewe mwenye Chama kaliona hilo

CCM inabaki madarakani kwasababu ya vyama ' uchwara' kama hivi

Britanicca
 
Kwani hujasikia wosia wa Mwamba?
 
Wazuri ni wale wa CCM waliokuwa wakishirikiana na polisi kupiga na kuwaua wapinzani.
 
CHADEMA ina Vijana wa hovyo sana nakwambia na kilichowasaidia ni kuwaunga mkono tu kipindi cha Dikteta nje ya hapo they are empty in their heads

Matusi ndo yamejaa

Mtu Kama mdude Au Martin do you think they can deliver any message without abusive language?

Chama Kina kazi kubwa wasijikite kukimbilia madaraka kwanza wajiimarishe wapunguze uhuni ni mwingi mno ndani yao,

Chama kimejaa kutekana! Kufoji saini mbali mbali , eti wabunge 19 wanafoji saini ya katibu mkuu na tunahabarishwa hivo si aibu hii???

We Sikiliza hata mahojiano mbali mbali yanayoenda live Au angalia ukija na hoja mbadala wao ni matusi tu!!

Ila wakitukanwa wao onhoooo

Nachoshukuru mwenyewe mwenye Chama kaliona hilo

CCM inabaki madarakani kwasababu ya vyama ' uchwara' kama hivi

Britanicca
Kwa hiyo Mdude na Martin wanatosha kufanya hitimisho kwamba CHADEMA ina vijana wa hovyo?!
 
Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe amenukuliwa wakati wa kuhutubia baraza kuu la chama kuwa chama kinatakiwa kuwa kinyenyekevu kwa vyama vingine na kuheshimu mawazo ya vyama hivyo na chadema ijikite kujenga harakati za kweli na sio kutukana vyama vingine mtandaoni na kwenye mikutano.

1. Je Kauli hii inagusa mtindo mpya wa majadiliano kwenye twitter maarufu kama space ambapo viongozi wa juu wa chadema wamesikika kutoa matamshi yao huko?

2. Mpaka kipindi cha sasa CHADEMA haitekelezi harakati za kweli katika siasa za Tanzania?

3. Chadema imefanya makosa kukaa pembeni ya kamati iliyoundwa na mheshimiwa rais?

4. Matamshi haya yanaashiria nini katika mahusiano ya uongozi wa juu wa Chadema?

Sisi ni kukaa na kusubiri
Mbowe anaifahamu pesa.
 
CHADEMA ina Vijana wa hovyo sana nakwambia na kilichowasaidia ni kuwaunga mkono tu kipindi cha Dikteta nje ya hapo they are empty in their heads

Matusi ndo yamejaa

Mtu Kama mdude Au Martin do you think they can deliver any message without abusive language?

Chama Kina kazi kubwa wasijikite kukimbilia madaraka kwanza wajiimarishe wapunguze uhuni ni mwingi mno ndani yao,

Chama kimejaa kutekana! Kufoji saini mbali mbali , eti wabunge 19 wanafoji saini ya katibu mkuu na tunahabarishwa hivo si aibu hii???

We Sikiliza hata mahojiano mbali mbali yanayoenda live Au angalia ukija na hoja mbadala wao ni matusi tu!!

Ila wakitukanwa wao onhoooo

Nachoshukuru mwenyewe mwenye Chama kaliona hilo

CCM inabaki madarakani kwasababu ya vyama ' uchwara' kama hivi

Britanicca
Wewe ni hovyo kabisa, wanao nao wanajisifu eti wana baba? Kama hii ndo akili yako basi wewe ni baba wa kwanza mjinga!

CCM wanabaki madarakani kwa sababu ya nini?????

Ni nani asiyejua ni nini kinawabeba ccm? CcM inabaki madarakani kwa sababu ya uhuni, matumizi ya polisi BASI!

Bila polisi ccm hawawezi kushindana na ngedere! Kikianzishwa chama cha matumbili na manyani kikashindanishwa na ccm kwenye uchaguzi mkuu polisi wala chombo chochote cha dola kisiingilie amini amini nakuambia nchi hii tumbili wanashinda mapema asubuhi kwa ushindi wa 99%
 
Labda anamaanisha kuwatukana sukuma gang..
Mbowe ndio mwasisi wakumtukana hayati Magufuli nashindwa kuelewa anamaana gani.
 
Wewe ni hovyo kabisa, wanao nao wanajisifu eti wana baba? Kama hii ndo akili yako basi wewe ni baba wa kwanza mjinga!

CCM wanabaki madarakani kwa sababu ya nini?????

Ni nani asiyejua ni nini kinawabeba ccm? CcM inabaki madarakani kwa sababu ya uhuni, matumizi ya polisi BASI!

Bila polisi ccm hawawezi kushindana na ngedere! Kikianzishwa chama cha matumbili na manyani kikashindanishwa na ccm kwenye uchaguzi mkuu polisi wala chombo chochote cha dola kisiingilie amini amini nakuambia nchi hii tumbili wanashinda mapema asubuhi kwa ushindi wa 99%
Mwenye chama amesema muwe na kauli za staha kwa wenzenu,wewe kapuku nyuma ya keyboard unajiona mwamba
 
MTU mwenye maono ya kufika mbali na mtu wa kuunganisha makundi yote hata yaliyopuuzwa na mtu mwenye malengo ya kuingia ikulu, hawezi kuruhusu chama chake na wanachama wake kuwa wabaguzi wa watu waziwazi

Mfano, hili jina la sukuma gang, kiukweli limetoka CCM na kuwa na kung'ang'aniwa sana na wanachema ili hali wao kazi yao ni kukusanya wanachema..!

Ikiwa kazi ya chama pinzani ni kusaka wanachama wapya kila uchwao, basi si vizuri kubagua watu wa kanda Fulani na ama kabila Fulani, hicho ndicho nachokiona sasa kwa Mbowe akikikemea
 
Wewe ni hovyo kabisa, wanao nao wanajisifu eti wana baba? Kama hii ndo akili yako basi wewe ni baba wa kwanza mjinga!

CCM wanabaki madarakani kwa sababu ya nini?????

Ni nani asiyejua ni nini kinawabeba ccm? CcM inabaki madarakani kwa sababu ya uhuni, matumizi ya polisi BASI!

Bila polisi ccm hawawezi kushindana na ngedere! Kikianzishwa chama cha matumbili na manyani kikashindanishwa na ccm kwenye uchaguzi mkuu polisi wala chombo chochote cha dola kisiingilie amini amini nakuambia nchi hii tumbili wanashinda mapema asubuhi kwa ushindi wa 99%
Na nyie mmezidi kulia lia kila siku mnaobiwa kura jiulize mtaani kwako ni watu wangapi ni chadema
kabla ya kufikia kusema mnaibiwa kura.
Hata kwenye familia yako bila shaka wewe tu ndio chadema.
chadema njooni na mikakati ya kukinusuru chama sio kutukana vyama vingine wala Magufuli na mataga.
 
MTU mwenye maono ya kufika mbali na mtu wa kuunganisha makundi yote hata yaliyopuuzwa na mtu mwenye malengo ya kuingia ikulu, hawezi kuruhusu chama chake na wanachama wake kuwa wabaguzi wa watu waziwazi

Mfano, hili jina la sukuma gang, kiukweli limetoka CCM na kuwa na kung'ang'aniwa sana na wanachema ili hali wao kazi yao ni kukusanya wanachema..!

Ikiwa kazi ya chama pinzani ni kusaka wanachama wapya kila uchwao, basi si vizuri kubagua watu wa kanda Fulani na ama kabila Fulani, hicho ndicho nachokiona sasa kwa Mbowe akikikemea
Mbowe ndio mwasisi wa kumtukana Magufuli kwenyeb press leo anawananga wafuasi wanaotukana mitandaoni.
Au ndio anataka aliwini kundi la sukuma gang.
 
CHADEMA ina Vijana wa hovyo sana nakwambia na kilichowasaidia ni kuwaunga mkono tu kipindi cha Dikteta nje ya hapo they are empty in their heads

Matusi ndo yamejaa

Mtu Kama mdude Au Martin do you think they can deliver any message without abusive language?

Chama Kina kazi kubwa wasijikite kukimbilia madaraka kwanza wajiimarishe wapunguze uhuni ni mwingi mno ndani yao,

Chama kimejaa kutekana! Kufoji saini mbali mbali , eti wabunge 19 wanafoji saini ya katibu mkuu na tunahabarishwa hivo si aibu hii???

We Sikiliza hata mahojiano mbali mbali yanayoenda live Au angalia ukija na hoja mbadala wao ni matusi tu!!

Ila wakitukanwa wao onhoooo

Nachoshukuru mwenyewe mwenye Chama kaliona hilo

CCM inabaki madarakani kwasababu ya vyama ' uchwara' kama hivi

Britanicca
Punguza chuki kwani Mdude au Martin ni wasemaji wa chama? Au Una maana hata kina Magoiga SN nao ni wasemaji wa CCM au Kigogo licha ya matusi Yao mitandaoni wakiitetea chama Dola??

Maoni ya watu watu wawili au watatu yasigeuzwe ndio msimamo wa chama. Official communication zinapita kwa Mrema tu kama msemaji so hizo tweets maoni binafsi tu.

Otherwise niambie kuna kijana Gani wa UVCCM amewahi ongea sense hata huko mtandaoni zaidi ya kusifia? Unaweza mfananisha kijana kama Twaha Mwaipaya, Pambalu, Moza Ally, Gwamaka, ama Daniel Ngogo katika kujenga hoja za msingi na UVCCM yeyote?

Get serious
 
Back
Top Bottom