Kauli hii inamhusu yupi kati ya mke na HG? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kauli hii inamhusu yupi kati ya mke na HG?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Eiyer, Nov 23, 2011.

 1. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #1
  Nov 23, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,672
  Trophy Points: 280
  Nimejiuliza swali hili baada ya kuchoka kusikia vimbwanga vya ma-HG,kauli yenyewe ni kuwa;UKIMUELIMISHA MWANAMKE UMEELIMISHA JAMII NZIMA,kwanza ni elimu ipi?Pili,sasa ni yupi kati ya hao wawili?HG au MKE?Au ni elimu ya malezi?Kama ni hiyo inamfaa HG Kwa sababu HG ndiye anaelea familia kwa ulimwengu wa sasa!Au ni wanawake wote?Lakini kama ni wote taifa litapata hasara kwa wanawake wengi kwani wataelimishwa halafu hawataitumia vyema elimu yao!
   
 2. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #2
  Nov 23, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,672
  Trophy Points: 280
  Halafu pia unapozingatia umuhimu wa HG nyumbani,ni vyema hawa wasichukuliwe kama wasiokua na umuhimu katika malezi ya watoto na afya zenu "mabosi wake"!
   
 3. s

  sawabho JF-Expert Member

  #3
  Nov 23, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 4,504
  Likes Received: 946
  Trophy Points: 280
  Mkuu, huwa wanamaanisha kusomesha Jinsi ya kike kama inavyofanyika kwa Jinsi ya kiume. Wewe naona umelichulia kwa mwanamke ambaye tayari ni mke wa mtu.
   
 4. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #4
  Nov 23, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Kiustaarabu haumuiti "House Girl",...its an insult.
  Kibongo bongo unaita "Dada",...ina mpa respect na anafeel as a part of the family.

  Back to the topic:No comment
   
 5. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #5
  Nov 23, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 160
  Swali lako halieleweki kwa sababu:

  Unamaanisha nini kumsomesha "MKE"????
  Unamaanisha nini kumsomesha "Maid" aka "Dada"???

  Naona kama huelewi wanapomaanisha kumsomesha Mwanamke.

  Napenda nikwambie hawamaanishi kumsomesha "Mke" huyo tayari
  anakuwa amesomeshwa na wazazi wake wanachomaanisha
  kumsomesha mwanamke ni wale "Mabinti" "Wasichana" ambao bado
  hawajaolewa sasa wewe mwenzetu umekuja na ya kumsomesha "Mke"??

  Siku njema
   
 6. Tausi.

  Tausi. Senior Member

  #6
  Nov 23, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 125
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ahsante DA,
  Ukizingatia kuwa mke hasomeshwi,
  anafundwa na wazazi wake jinsi ya kuishi na mume.
   
 7. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #7
  Nov 23, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,672
  Trophy Points: 280
  Dena,kuna elimu nyingi sana,sijazungumzia elimu uliyosoma wewe ya kujua kuandika na kwenda na sijui ufagio,elimu ninayoizungumzia hapa ni elimu ya malezi ya kuwandaa marais,mawazir,baba,mama na walezi wa kesho,so unaweza ukawa "MKE" na ukawa huna elimu hii!
   
 8. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #8
  Nov 23, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,672
  Trophy Points: 280
  Wewe unazungumzia namna ya kuishi na mume mi nimezungumzia namna ya kuwalea wote.Nafikiri unajua maana ya FAMILIA!
   
 9. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #9
  Nov 23, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 160
  Mie ndo nimeshangaa kumsomesha "Mke"??
  Labda alimaanisha hiyo ya kufundiswa kuishi na mume
  kama ulivyosema
   
 10. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #10
  Nov 23, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 160
  Hebu soma hiyo red utanielewa
   
 11. Prishaz

  Prishaz JF-Expert Member

  #11
  Nov 23, 2011
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 1,930
  Likes Received: 1,462
  Trophy Points: 280

  asante sihitaji kuongeza neno, siku njema
   
 12. BlackBerry

  BlackBerry JF-Expert Member

  #12
  Nov 23, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 1,844
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Tunapoelekea huko kutakuwa hakuna kuishi na ma hg tena maana shule za kumwaga zimeanzishwa
  kwa hiyo kila mwanamke atahitaji kulea family yake mwenyewe... kama wenzetu huko wanavofanya
  elimu ni kw wanawake wote, coz hata Ma HG badae watakuwa na familia zao
   
 13. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #13
  Nov 23, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 278
  Trophy Points: 180
  that's more than confussion. Hata hivyo wenyewe watakujibu sasa hivi maana ni kama umepiga ikulu mawe!
   
 14. Tausi.

  Tausi. Senior Member

  #14
  Nov 23, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 125
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Inaeleza kila kitu,
  kweli huitaji kueleza kila kitu.
  Thanx
   
 15. BPM

  BPM JF-Expert Member

  #15
  Nov 23, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,766
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  DA kwa afupi anatakiwa amsomeshe mwanae wa kike
   
 16. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #16
  Nov 23, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,672
  Trophy Points: 280
  Hii italeta maana zaidi,ma-HG waondolewe kwenye scene halafu tuone!
   
 17. Tausi.

  Tausi. Senior Member

  #17
  Nov 23, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 125
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kaka Eiyer,
  Bila kuishi na mume utalea familia????, Ukijua namna ya kuishi na mume ndio familia yenyewe.
  Unaposema "Kama ni hiyo inamfaa HG Kwa sababu HG ndiye anaelea familia"
  "Lakini kama ni wote taifa litapata hasara kwa wanawake wengi kwani wataelimishwa halafu hawataitumia vyema elimu yao! .
  Hapo mwanamke unakuwa hukumpa jukumu lolote, huyo Dada yeye anamlea mume?????

   
 18. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #18
  Nov 23, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 160
  huyu inatakiwa unamuelezea kwa kirefu aelewe
   
 19. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #19
  Nov 23, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,672
  Trophy Points: 280
  Napata tabu kukuelewa coz,unawaza mbili kabla ya moja,faham sio kila mwanamke ni mke,nimezungumzia mwanamke,pili nimezungumzia HG ambae nae ni mwanamke lakini ni mke mtarajiwa kama akitaka,sasa unaposema sieleweki nami nashindwa kukuelewa,mke na HG majukumu yao ni tofauti,and so elimu pia,DA vipi?
   
 20. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #20
  Nov 23, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 160
  Huyu achana nae haelewi swali lake mwenyewe mara ndoa mara familia sasa "Mke" si tayari
  amekuwa kwenye familia unamwelimisha nini sasa hapo?

  Nalog off Source: Washawasha
   
Loading...