Kauli hii haifutiki mpaka leo ni mwaka wa 6

Mimi ni mwanaume na tumefanikiwa kuwa na mtoto wa kike mmoja. Siku ya kwanza nakutana na mke wangu kimwili, baadae aliniambia sikumfanya vizuri. Siku zilivyoenda akawa ananisifia kuwa nafanya vizuri now. Ingawa alinieleza ukweli wake direct, nimejaribu kuisahau nmeshindwa. Inaniumiza kila wakati. Nitumie mbinu ipi niweze kuisahau maana imenisababisha nimemchukia mpk sasa simfeel, na pretend kwake tu, namfanyia hata visa vya ajabu
Yaani MTU kakuambia ukweli, unamchukia

Mapungufu yako unaamua kuyatumia kuadhibu mkeo

I think you need therapy...

Yawezekana huko nje ukawa worse
 
Unajipa strees bure na vitu vya kawaida kabisa. Ukitaka uishi vizuri,chochote kichukulie kawaida,hata kama ni cha kuumiza kipuuze muda huo huo. Kuna mambo mengi huko mbele,si ndio utachanganyikiwa kabisa?. Vinginevyo utakuwa humpendi tu au tayari penzi limechuja ndio maana baada ya miaka 6 ndio umeanza kulikumbuka zaidi. Lakini hilo ni la kawaida kabisa. Tena alikuambia ukweli,hiyo ilikuwa nzuri kwako ksbb ukajipanga siku za mbele. Achana na hilo neno la kawaida kabisa hilo,tena mwenzio aliongea kiupendo na mzaha wa mapenzi kwako
 
Shida moja ya KUOA mke wamtu ndio hiyo.

Ukioa mwanamke ambaye SIO BIKRA, jambo LA kwanza unapokua unamkaza LAZIMA akulinganishe na MTU/WATU walokua wanamkaza kabla yako.......

Matokeo yake nimawili??
----Uwe mzuri kuliko wao ,hapa atakusifia.
-----Uwe mbovu kuliko wao, hapa ama akusifie kinafiki sababu umemuoa au akuchane au aendelee kuliwa na jamaa Yake/zake .

Ndio shida ya KUOA mke wa MTU !!!!.............

Sema nini, Ndo chaguo lako Joooh , WATU hawahesabiwi haki kwa makosa yao yanyuma .. Ujumbe wake ulikua wazi na muhimu kwako pia ila namna yabuwasiishaji aliikosea ,nadhan nisabab WATU wanatofautiana.

Amua kusahau ,endelea kumfurahisha mkeo, yapo Mengi mazuri yanayokufurahisha, ila kwakua umeamua kumchukia, hata akufanyie nn, huwezi kuona mazuri Yake.

Sasa kama nawewe umeamua kua JIWE MTAKA SIFA,...nenda kwa Malaya utasifiwa hata kama unakibamia !!!!
 
Kauli ipi sasa kati ya hizo mbili inayo kutatiza? Ya kufanya vizuri au ya kuto mfanya vizuri? Lakini Mimi nadhani kauli ya pili inafuta kauli ya kwanza
 
Shukuru Mungu alikwambia ukweli na ukajifunza kutokana na makosa uliyoyafanya siku ya kwanza na ndio maana ukawa unaperform vizuri.

Usiwe na kisirani, asingekwambia siku ya kwanza ungeendelea kufanya kama siku ya kwanza ikawa ni fedheha tu na hata kuachana.

Watu wengi hawapendi kuambiwa ukweli, anafurahia kuambiwa uongo. Ukikosea kubali kukosolewa hata kama ukweli unauma. Yafanyie kazi makosa yasijirudie tena ili ufanikiwe zaidi na maendeleo ndo yanavyokuja.

Badilika mkuu, usiweke kinyongo kukibeba kinakuumiza wewe mwenyewe ndani kwa ndani na baadae kitakufanya ufanye maamuzi mabaya kwenye jambo dogo ambalo ungeweza kulitatua kwa hekima.

Please change your negativity to positive one
 
Sawa nashukuru sana nimepata elimu tosha tena ya bure asubuhi hii. Mungu ni mwema
 
Alafu mwisho wa siku hulidhiki unaenda kutafuta njema nyingine ikukune vyema?
Alikosea sana mwanaume haambiwi "hujui au hujanifanya vizuri" ni mwendo wa kusifia tu ili asijiskie vibaya, ila ukweli wengi wenu hamjui

Ova
 
Hii kauli itamuongezea maumivu hata akisifiwa sasa bado ataona anadanganywa tu.p
 
Wakuu tumshauri huyu mwenzetu vitu tangible na tuwe very serious. Nimejaribu kufuatilia nyuzi zake za nyuma seems ana mazito sana yanayompata kupitia ndoa.

Hawa ndio mfano wa wale tunaosikia kaua familia yake pamoja na yeye kajimalizia.

Screenshot_20191204-082145.jpeg
 
Alikosea sana mwanaume haambiwi "hujui au hujanifanya vizuri" ni mwendo wa kusifia tu ili asijiskie vibaya, ila ukweli wengi wenu hamjui

Ova
Ushamuongezea doa jengine sijui hili litamchukua muda gani ila ushauri wangu Fanya kwa kujirudhira ww sio yy wacha kujitutumua kwa kutaka kumridhisha mtu mlokutana ukubwani utajichosha maana hujui kapitia mapito gani.
 
Back
Top Bottom