UNIQUEMAN1
JF-Expert Member
- Mar 20, 2018
- 378
- 448
Mimi ni mwanaume mwenye mke na tumefanikiwa kuwa na mtoto wa kike mmoja. Siku ya kwanza nakutana na mke wangu kimwili, baadae aliniambia sikumfanya vizuri.
Siku zilivyoenda akawa ananisifia kuwa nafanya vizuri now. Ingawa alinieleza ukweli wake direct, nimejaribu kuisahau nmeshindwa.
Inaniumiza kila wakati. Nitumie mbinu ipi niweze kuisahau maana imenisababisha nimemchukia mpk sasa simfeel, na pretend kwake tu, namfanyia hata visa vya ajabu