Kauli hii haifutiki mpaka leo ni mwaka wa 6

UNIQUEMAN1

JF-Expert Member
Mar 20, 2018
378
448
Mimi ni mwanaume mwenye mke na tumefanikiwa kuwa na mtoto wa kike mmoja. Siku ya kwanza nakutana na mke wangu kimwili, baadae aliniambia sikumfanya vizuri.

Siku zilivyoenda akawa ananisifia kuwa nafanya vizuri now. Ingawa alinieleza ukweli wake direct, nimejaribu kuisahau nmeshindwa.

Inaniumiza kila wakati. Nitumie mbinu ipi niweze kuisahau maana imenisababisha nimemchukia mpk sasa simfeel, na pretend kwake tu, namfanyia hata visa vya ajabu
 
Kama mwanaume lazima iume maana alikudhihirishia kwamba kuna aliyekuwa anamfanya vizuri kuliko ulivyofanya siku hiyo.
Hivyo basi, kinachokuuma sio kushindwa kumfanya vizuri siku yako ya kwanza bali ni baada ya yeye kulinganisha mechi zake za nyuma na mechi mliyocheza siku hiyo.

Hili doa mimi nalifuta kwa kuchepuka vizuri japo alama yake itaendelea kuwepo 😕
 
Kama mwanaume lazima iume maana alikudhihirishia kwamba kuna aliyekuwa anamfanya vizuri kuliko ulivyofanya siku hiyo.
Hivyo basi, kinachokuuma sio kushindwa kumfanya vizuri siku yako ya kwanza bali ni baada ya yeye kulinganisha mechi zake za nyuma na mechi mliyocheza siku hiyo.

Hili doa mimi nalifuta kwa kuchepuka vizuri japo alama yake itaendelea kuwepo
Fact
 
I want that woman.

Katika uhusiano mawasiliano ni msingi mwingine baada ya uaminifu. Mmeshonana na kaona hujamshona vizuri kalileta kwako mlijadili ili next time mshonane poa.

Alichofanya ni sahihi. Kama umewahi kumsikia Velamma yeye hamlalamikii mumewe badala yake anaenda kuitembeza hadi kwa watoto wa shule.

Hiyo experience yako nataka ukaiandike kwenye uzi wa 'Show mbovu ulizowahi kupiga' na nipe namba zake huyo dada.

Nayasema haya nikiwa kama Mwenyekiti mstaafu na mjumbe wa kudumu wa Jukwaa la Chini.

Alamsiki.
 
Alikosea sana mwanaume haambiwi "hujui au hujanifanya vizuri" ni mwendo wa kusifia tu ili asijiskie vibaya, ila ukweli wengi wenu hamjui

Ova
Kwahiyo kibaba cha kilo 84 kinakulalia kama Gwajima vile mkitoka hapo unamwambia yeye ni noma?

Unless unajijua hakuna future ila kama ipo bora umpe somo.
 
Pole pambana kua mtu mzima ni pamoja na kupambana na ukweli kujaribu kuuelewa na kufanyia kazi lakin zaidi kitomind kuambiwa ukweli..
 
Sijaamua nini mkuu

Hujaamua kupuuza ili muishi kwa amani na upendo

Ukiamua kuishi na binadamu mwenzako changamoto haziishi tena mitihani kila siku.

Jiulize
wewe huna mapungufu
Hujawahi mkosea
Hufanyi makosa

Kinachokuumiza ni wivu tu kwamba kuna mtu alikuwa anamtenda vizuri kabla yako ndio maana unakinyongo.

Yesi nisehemu ya maisha

Jiulize pia kama wewe
1. Hukuwahi kufanya nje kabla yake? Kama hukuwahi hongera zako. Kama ndio yeye hana roho na damu?

2. Je ukienda kupata mwengine unauhakika atakuwa hajawahi kufanya..... hatafanywa?

Mambo mengine nakujiumiza bila sababu maana haijapunguwa hiyo nitumie tu mpaka mwisho, kuumia kwako kila siku hakukuongezei thamani yoyote zaidi yakukumiza kijinga.

Potezea na puuza sababu yote hayo nisehemu ya maisha

Hakuna aliyemkamilifu duniani ila Mungu peke yake kwa wanaoamini.
 
Mimi ni mwanaume na tumefanikiwa kuwa na mtoto wa kike mmoja. Siku ya kwanza nakutana na mke wangu kimwili, baadae aliniambia sikumfanya vizuri. Siku zilivyoenda akawa ananisifia kuwa nafanya vizuri now. Ingawa alinieleza ukweli wake direct, nimejaribu kuisahau nmeshindwa. Inaniumiza kila wakati. Nitumie mbinu ipi niweze kuisahau maana imenisababisha nimemchukia mpk sasa simfeel, na pretend kwake tu, namfanyia hata visa vya ajabu
hii kauli imewahi kunitokea na iliniuma kiasi japo si sana,
nikamuuliza nifanyaje ili ikae sawa, akanieleza nimfanyie nini,
baada ya hapo alikuja kunambia siku hizi anafika vzr na anaridhuka kabsaaaaa.

kidume nikavimba, ila ni baada ya kufanyia kazi mapendekezo yake
 
Daaah Asante sana
 
Hujaamua kupuuza ili muishi kwa amani na upendo

Ukiamua kuishi na binadamu mwenzako changamoto haziishi tena mitihani kila siku.

Jiulize
wewe huna mapungufu
Hujawahi mkosea
Hufanyi makosa

Kinachokuumiza ni wivu tu kwamba kuna mtu alikuwa anamtenda vizuri kabla yako ndio maana unakinyongo.

Yesi nisehemu ya maisha

Jiulize pia kama wewe
1. Hukuwahi kufanya nje kabla yake? Kama hukuwahi hongera zako. Kama ndio yeye hana roho na damu?

2. Je ukienda kupata mwengine unauhakika atakuwa hajawahi kufanya..... hatafanywa?

Mambo mengine nakujiumiza bila sababu maana haijapunguwa hiyo nitumie tu mpaka mwisho, kuumia kwako kila siku hakukuongezei thamani yoyote zaidi yakukumiza kijinga.

Potezea na puuza sababu yote hayo nisehemu ya maisha

Hakuna aliyemkamilifu duniani ila Mungu peke yake kwa wanaoamini.
Asante sana mkuu
 
Back
Top Bottom