marveljt
JF-Expert Member
- Jan 11, 2017
- 1,503
- 1,479
Ikiwa leo ni zaidi ya mwaka mmoja na miezi kadhaa. Je! Ni kauli ya kiongozi gani ambayo imetekelezeka kiufanisi na kuleta mafanikio tarajiwa? Je! Kutoa kwao matamko mengi yasiyokuwa na faida hawaoni wakati umefika wa kuyatekeleza yale ambayo walishayatolea kabla hawajatamka mengine? Je matamko hayo yamesaidia kwa kiasi gani maendeleo ya nchi pamoja na wananchi kiujumla?
1. Rais
2. Makamu wa rais
3. Waziri mkuu
4. Baraza la mawaziri
5. Wakuu wa mikoa
6. Wakuu wa wilaya
7. Wabunge
8. Madiwani
9. Wakurugenzi
1. Rais
2. Makamu wa rais
3. Waziri mkuu
4. Baraza la mawaziri
5. Wakuu wa mikoa
6. Wakuu wa wilaya
7. Wabunge
8. Madiwani
9. Wakurugenzi