Kiranja Mkuu
JF-Expert Member
- Feb 18, 2010
- 4,066
- 4,085
- Umeme wa |TANESCO HAUTAWAKA.
- Mrema atakuwa Raisi wa Tanzania.
Mwaka huu tutasikia mengi.
Haya sisi yetu masikio.
- Umeme wa |TANESCO HAUTAWAKA.
- Mrema atakuwa Raisi wa Tanzania.
Mwaka huu tutasikia mengi.
Maaskofu kama hawa wanautia aibu ukristo!
My friend, Kakobe and his follower just did worship the so called gods..........Daniel said, and I qoute "Your Majesty, we don't need to defend ourselves. 17The God we worship can save us from you and your flaming furnace"Wakuu wanaJF. Kakobe ni Mtumishi wa Mungu na ukweli. Imani yake inamshawishi kuamini kuwa Umeme hautawaka.
Mfano Mdogo.
Katika kitabu Cha Daniel kwa wale wanaosoma bibilia.(Dan 3:16-18)
16The three men replied, " Your Majesty, we don't need to defend ourselves. 17The God we worship can save us from you and your flaming furnace. 18But even if he doesn't, we still won't worship your gods and the gold statue you have set up."
Tunaona mtumishi wa Mungu daniel Anaamini kuwa Hata wakitupwa kwenye Tanuru la moto Mungu wanaye Mwabudu atawaokoa. Na hatakama hatawaokoa hawawezi kuabudu Miungu wengine
Ninachoomba. Just dont Talk negative on this guy. he had a point to prove! na ndio maana alikua anakataa umeme upite.
Mkuu ule haukuwa mgomo, nafikiri yale yalikuwa maonyesho ya utamaduni wa ufinyu wa fikra.baada ya miezi mitatu ya mgomo..............!
Wakuu wanaJF. Kakobe ni Mtumishi wa Mungu na ukweli. Imani yake inamshawishi kuamini kuwa Umeme hautawaka.
Mfano Mdogo.
Katika kitabu Cha Daniel kwa wale wanaosoma bibilia.(Dan 3:16-18)
16The three men replied, " Your Majesty, we don't need to defend ourselves. 17The God we worship can save us from you and your flaming furnace. 18But even if he doesn't, we still won't worship your gods and the gold statue you have set up."
Tunaona mtumishi wa Mungu daniel Anaamini kuwa Hata wakitupwa kwenye Tanuru la moto Mungu wanaye Mwabudu atawaokoa. Na hatakama hatawaokoa hawawezi kuabudu Miungu wengine
Ninachoomba. Just dont Talk negative on this guy. he had a point to prove! na ndio maana alikua anakataa umeme upite.
My friend, Kakobe and his follower just did worship the so called gods..........Daniel said, and I qoute "Your Majesty, we don't need to defend ourselves. 17The God we worship can save us from you and your flaming furnace"
Kakobe defended himself, he used his followers to fight Tanesco guys from erecting the poles.
Got that?!!! Tofautisheni kati ya matendo ya kiuanaharakati na will of God.
baada ya miezi mitatu ya mgomo..............!
Let me be neutral, ningependa kujua ni kwa nini umeme wa 132kv unaotoka mtera na kidatu umetengewa njia yake na karibu yake hairuhusiwi kujengwa makazi ya watu, lakini huu wa 132kv kutoka ubungo (kama kweli ni 132kv) unapitishwa karibu na makazi ya watu? au si 132kv? na kama ni 132kv hamwoni kuwa serikali inawatendea vibaya wakazi wote katika barabara hiyo na wala si kakobe na waumini wake ambao kwanza hawaishi eneo hilo?