Mtoto Wabibi
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 451
- 294
1: J. Kikwete ni dhaifu.....Nimemmis J.kikwete
2: Mkipiga kura kalaleni nyumbani(msilinde) hawawezi kuiba kura.......Nimeibiwa kura zangu
3: Hatumtambui raisi John Magufuli.......Magufuli ni raisi dikteta
4: Paul Kagame ni raisi mwenye mafanikio na anatawala vizuri.......Paul Kagame ni dikteta na anamfundisha udikteta Magufuli
5:Lowasa ni fisadi......Lowasa nimtakatifu/kamanda
6:Mahakama ni za CCM......CHADEMA tumeshinda kesi mahakamani
8olisi ni CCM......tumeenda polisi kwa msaada zaidi
10: Tunapinga Posho za vikao za bunge zisitolewe ............N/spika anatufanyia fitina tusichukue posho bungeni
11:Hatutahudhuria vikao vya bunge vya N/spika......Tumetoka bungeni baada tu ya kusoma dua na N/spika
Zipo nyingi sana huwa sizielewi mana zina pande mbili....leo niishe hapo ....nadhani hizi zitatumaliza katika juhudi zetu.