Long live Mr president
teteteteteeeesh
teteteteteeeesh
Kaishi naye eti....maana inaonyesha unamkubar sana...Long live Mr president
Watu wenye akili hutumia hiyoKuna jamaa kaniuliza swali hili "kwanini unaikosoa serikali kila siku?" Nikasita kumjibu lakini Jibu langu lilikua hili "kwanini na wewe unasifia serikari kuliko unavyomsifia mkeo?"
Kuna aina 3 za kujibu swali... Mimi nimetumia ile aina ya tatu unajibu swali kwa swali.
Sauti wameinsert original sio ya kuigaKwenye sauti sioni walipokosea