Katuni ya Gado ya leo inaonyesha hali halisi ya kinachoendelea katika chama cha CCM kwa sasa hivi na serekalini kwa ujumla

Behaviourist

JF-Expert Member
Apr 8, 2016
39,900
95,400
987654.jpg
 
Ndungai anapiga makofi kushangilia tukio.
Hawa akina Ndugai lazima "watamlazimisha" Jiwe aongeze muda. Whether Jiwe yupo nyuma ya hiyo scheme ama la it doesn't matter. Bunge wao watafanya kazi yao (ya kutunga sheria bila kuingiliwa na Mhimili mwingine) na kuongeza muhura kutoka miaka mitano mpaka saba. Then, mabeberu wanasemaga "the ball will be in Magufuli's court"

Hata akina Kagame na Mu7 walianzaga na swaga za kukataakataa..
 
Kagame amebadilisha katiba kabisa, term ya urais ni miaka saba na wapinzani hawana nafasi.
 
Back
Top Bottom