Katuni ya Gado iliyotoka teh East African

mfianchi

Platinum Member
Jul 1, 2009
11,843
8,232
Jamani kuna wakati Gado Mwampembwa mTZ anaeshi Kenya aliwahi kutoa katuni zake kwenye gazeti la The East African,moja ya katuni hizo ilikuwa inaoonyesha waandishi wa habari wakilamba viatu vya mkulu na nyingine ilikuwa inaonyesha mkulu akifuatilia mafisadi alipofika mwisho wa anaowafuatilia akapiga break baada ya kukuta ni wenzake wanene ndio mafisadi,kama kuna mtu anazo tafadhali atuwekee hapa tujikumbushe jinsi waandishi wa habari walivyo hapa TZ na pia tujikumbushe kidogo vita vya mafisadi kwa kuangalia viponzo.
 
Hivi wewe umeingiaje humu?, hapa si mahali pa porojo ni picha tu. Kama huna picha timua.......
 
Back
Top Bottom