Katuni ya Gado ikimhusu Rais Magufuli yatwaa Tuzo ya Dunia ya Amani ya Umoja wa Mataifa(UN) Geneva

Mleta Uzi, R.B umeweka title inayopotosha kwa makusudi ili utupotoshe sisi VILAZA.

Tuzo ya Gao ni kwa sababu hii:

Geneva . 05/03/2016
In order to celebrate the World Press Freedom Day on the 3rd of May, the Cartooning for Peace Swiss Foundation and the City of Geneva present the 2016 International Editorial Cartoons Prize awarded by the Honorary President of the Swiss Foundation, Mr. Kofi Annan, to the Kenyan caricaturist, Gado and the Malaysian cartoonist, Zunar.

“Gado and Zunar remind us how fragile this liberty remains in Africa and in Asia as well as in other regions of the world. Through their commitment towards open and transparent societies, Gado and Zunar, who have received threats in their countries of origin and can no longer practice their profession, confront us with our responsibility to preserve freedom of expression and act in order to support the combat of those who cannot express themselves through their art”, declared Mr Annan.
sijapotosha ;
 
Huwezi kuwa Gado kama ile kitu haijapanda kichwani.sasa unaweza ukasema kwamba ni "commitment of transparent" kumbe ni sio yeye.
 
Potezeni muda wenu na katuni JPM anasonga mbele tunamuombea kws Mungu hasirudi nyuma vita mbele kwa mbele mpaka mafisadi wahane nchi.
 
Potezeni muda wenu na katuni JPM anasonga mbele tunamuombea kws Mungu hasirudi nyuma vita mbele kwa mbele mpaka mafisadi wahane nchi.
Huyu Gado hatabiriki, leo unamsifia kesho anakuchora tena kwa maudhi. Nakumbuka kuna miaka ya nyuma Mkapa na mawaziri wake walimsifia sana alipageuza kibao na "Gananichoraga mpaka Bafuni" watu walitafutana.
 
Hii mbona inakwama kooni? Anasafisha Zanzibar? Free Press? CCM? Awamu ya 4? Mbona hii ni ajenda ya wapinzani? Si wangeonyesha watu wa Lowassa wansokwepa kodi? Na wale washauri wake wa Stanbic wanaoiibia serkali ni wanafamilia wa Lowassa? Na wale vigogo wa TPA na Customs mashabiki wa Ukawa? Na wanafunzi hewa wanaotumuwa na Chadem Zawadi ni zawadi hongera Gado lakini sijui kama una nia nzuri kumpongeza JPM au kama ajenda yako kuu ni kuwakandia CCM ila ukakosa jinsi!
 
Kwa upande wangu hili silishangai sana, kwani ndo huruka ya Mtu Mweusi ya kutoheshimia, kutothaminiana, kupondana hata kama unafanya jambo jema sisi watu weusi hatuna utamaduni huo.

Hali hii ilipandikizwa ndani ya vizazi vyetu tangu Enzi ya Wakoloni.

Tazama Enzi za kupigania Utu wa Mtu Mweusi hali ya kuhujumiana ilikuwepo na ilipandikizwa na wakoloni miongoni mwa hao viongozi waliokuwa wakipigania Uhuru wa Mtu Mweusi na walifanikiwa kutugawanya na suala la Ukombozi kwa Mtu Mweusi ni ndoto hadi leo.

Na hili ni kwa watu weusi wote wawe walioenda Shule na wasioenda shule.
Tazama hata Waafrika wenzetu waliopo huko Majuu / Nchi zilizoendelea jinsi wanavyopambana wao kwa wao ( sababu katikati Yao kuna Mtu Mweupe ambaye anatoa ufadhiri kwa viwango tofauti tofauti na kupitia hilo anaeatawala atakavyo na wao kwa wao wanaparurana kama kuku)

Hii ndo Afrika yetu na huu ndo Utamaduni wa Mtu Mweusi.... Tazama hata Vyama vyetu pinzani vya Siasa viongozi wao wanavyaparurana huyu hafai ningekuwa mimi ningefanya hivi........

Shame African People.....
Kwa nini hatupongezani pale kiongozi au yeyote yule anayefanya jambo jema kwa Taifa?

Hawa wachora katuni kwanza sehemu Moja nawapongeza kwa sababu wameona kazi anayoifanya Mh JPM na kweli anawa - bulldozer kweli vibaraka na wala rushwa.

Sisi watu weusi ni lini tutakoma kutothaminiana wenyewe kwa wenyewe....

Ni lini tutasimama kwa mifumo yetu wenyewe tuendeshe Nchi zetu? Na tuache kwenda kwa Mabwana / kutumiwa na Mabwana wakubwa hao?

Mfano hawa wachora vikatuni kama kweli hawakupendezewa na mambo anayoyafanya JPM kwa nini waende USWIZI na si Makao makuu ya Jumuiya ya EAC ?
 
Aliyeandika hiyo article kateleza kidogo, kumbukumbu zangu zinaniambia maelezo ya hiyo cartoon yalimhusu Presided aliyepita, na baada ya malalamiko ilipelekea Daily Nations kum disengage Gado
 
Hili jina la Gado linahusiana na type ya matuizi ya kachaso na mmea wa jamaika.Hata ZeyB akiwa Nature waliimba.
Du, kweli kila mbuzi atakula kwa urefu wa kamba yake vivyo hivyo na urefu wa nywele zetu unatofautiana!
 
The granting last week of the shared 2016 Cartooning for Peace award in Geneva to Tanzanian caricaturist Gado and Malaysian artist Zunar is not just in recognition of their talent, but also their willingness to risk loss of employment, prison and other forms of persecution. Journalist and author Edward Girardet explores the role these artists play in the pursuit of their craft, a much-needed form of critical expression at a time when news organizations, particularly in Africa and Asia, are increasingly reneging on their responsibilities to hold politicians to account.
IMG_74862.jpg



Presentation of award by Kofi Annan (R) to Tanzanian cartoonist Gado (second from left) and Malaysian Zunar (second from right). Geneva government advisor Guillaume Barazzone. (L).

IMG_74721.jpg

Geneva — Presenting the 3 May award was not just to mark World Press Freedom Day, maintained Kofi Annan, honorary President of Cartooning for Peace and former United Nations Secretary General, but also to “remind us how fragile this freedom is in Africa and Asia as well as other parts of the world…It is our responsibility to ensure the preservation of the freedom of expression and to support the fight of those who can only express themselves through their art.”

Swiss cartoonist Patrick Chappatte, who is vice-president of the Swiss-based Cartooning for Peace Foundation, added that “for having the courage to draw the king naked, Gado and Zunar are confronted by a power-mongering machine that seeks to silence them. The purpose of this prize is to amplify their voices as well as that of democracy and justice.”

When asked why governments and politicians so dislike cartoonists, both artists answered that cartoons appeal to everyone and are able to say more than other media. Cartoonst are simple, quick and powerful, they explained. And now they are everywhere, even if banned. They appear on the internet and are accessible to most people.

MAY 6, 2016

President John Magufuli of Tanzania at work. By Gado.

For Gado, who lives in Kenya and has been forced out of his job at the Kenyan Daily Nation, for daring to ridicule Kenyan and other African political leaders, the role of the cartoonist is Shakespearean. “Cartoonists are modern-day court jesters who make fun of those in power. Politicians take themselves far too seriously. When they are told that they naked, they find this a problem. And they don’t know how to deal with this. The danger is when you cross the line. Then you’re taking a risk.”

“The great thing about cartoons is that they are simple and appeal to everyone,” said Gado. One of his cartoons, for example, ridicules John Magufuli, president of Tanzania, by depicting him as corrupt, arrogant and surrounded by fawning women. Other drawings have criticized Kenyan politicians, including president Uhuru Kenyatta, for their lack of transparency and accountability. The end result is that the Kenyan government has brought pressure on newspaper and magazine editors to curb the ‘pests’ who dare to express themselves freely. The worrying matter is that editors and publishers are willing to bow to such pressures.


Zunar drawing on corruption.

Malaysian artist Zunar, whose 18 books have been banned by the Kuala Lumpar regime with further threats (eg. cancellation of sales’ licenses) against shops and vendors who dare to carry his publications. Zunar now faces 43 years imprisonment for mocking Najib Razak, the country’s prime minister, as well as his ruling Barisan Nasional party, which has been in power for 60 years. He goes to trial in July, 2016.

“Every regime and government in the world has a military. They know how to handle riots, but they have no idea how to deal with cartoons,” said Zunar, who has now dropped all his copyright so that anyone can use his drawings. This is the only way to beat the government, he maintains. “Cartoons are a very powerful medium and very universal. Cartoons have no age barriers and can reach everyone. They also appeal to people living in rural areas who cannot read. This is what these governments hate.”

“We introduce protests through our cartoons. We make people laugh and they laugh at the prime minister,” Zunar added. “The attitude is that if you can’t beat them (the government), then the least you can do is laugh at them. There is nothing the government can do. What is the regime going to do, stop people from laughing?”

Aff-CFP-finale-2016-322x172.jpg


Cartooning for Peace is holding an open-air exhibition along the lake in Geneva until 4 June, 2016. The exhibition is divided into five categories: the 2016 prize winners, Exodus, Liberty and Security, Cyber world and Planet Earth.



Edward Girardet is a Geneva-based journalist and author who has reported conflicts and humanitarian crises throughout Africa, Asia and elsewhere. He is currently director of the Global Geneva magazine project.


HONGERA ZAKE
 
Waswahili wanasoma na kuelewa basi ndugu! Wao huona mtangulizi wake (mjinga) ameandika nini, basi hufanya mwendelezo huo huo bila hata kutumia kiasi kidogo cha akili. Katuni ya gado (Mwampembwa) aliyezawadiwa inamwonesha bulldozer akifagia nyumba yake. haachi kitu nyuma wala haangalii marafiki; CCM, Zanzibar, Wahabari/vyombo vya habari, rushwa, taasisi zilizooza na kadhalika, vyote anafagia na kutupa nje ya nyumba/shamba lake. Kimsingi hivi ndivyo anavyofanya. Hivyo Cartoonist Robert Mwampembwa amemsifia Magufuli naye akaibua tuzo. Kufa kufaana?
Wewe ndo hujui kinachoendelea.Umesoma sababu za hiyo cartoon kupata tuzo au na wewe ndo kilaza kama J?
 
Back
Top Bottom