Katuni ya Gado ikimhusu Rais Magufuli yatwaa Tuzo ya Dunia ya Amani ya Umoja wa Mataifa(UN) Geneva

Du jamaa ni kichwa kweli kweli Magufuli anataka aonekane na kusikika yeye tu
 
Wewe ndo hujui kinachoendelea.Umesoma sababu za hiyo cartoon kupata tuzo au na wewe ndo kilaza kama J?
Ndugu yangu, si ueze hizo sababu unazosema kupinga hoja niliyowasilisha? Jitahidi hata kutumia common sense japo unalipwa kufanya kazi ya hovyo ya team Lowasa II kufanya fujo mitandaoni.
 
Back
Top Bottom