Katuni: Mazoea kwa baadhi ya watu kumsubiri mtu afariki ndio wamsifie

ROJA MIRO

Member
Jul 19, 2021
52
56
Kuna wakati kwenye jamii ambayo tumekuwa tunaishi watu wamekuwa wakibadilika mitazamo baada ya mtu kufariki,kutokuwepo nk.

Mfano, unakuta kiongozi labda yupo madarakani basi watu wanamchukia au kutomkubali kwa namna moja ama nyingine,ila aking’atuka madarakani basi kwa namna moja ama nyingine unakuta wanamlinganisha na kiongozi aliyekuwepo wakati huo na kumuona yule aliyepita bora hata angerudi madarakani hata sasa hivi.loh!!! waja tuna mambo.

Kuna wakati utaona watu wanavyotamani hata kiongozi amalize muda wake,ila ikitokea kwa mfano amefariki utakuta wanamlilia sana kama sio wao waliokuwa wanampinga mwanzo,ama kweli duni hadaa ulimwengu shujaa.

Usishangae ndugu akiwa mgonjwa watu hawamjali,hata ela ya kula hana,matibabu shida ila akifariki utakuta ndio wanampenda,basi watalia hadi macho yawe mekundu kama nyanya mbivu au matunda damu,watachinja mang’ombe,watu watakula wali na kusaza loh,kweli ukichelewa kufa utaona harusi ya bibi yako walisema wahenga.

Kupitia challenge hii hii ya Jamii Forums mtu kaja coment kwangu kwenye baadhi ya kazi zangu ananiambia eti takwimu zangu za uongo,huyu anasubiri nishinde ndio aje anipongeze nikamuacha tu nikamuona kama sio wivu basi ana stress zake za maisha

Hebu ninyamaze nisijeonekana nina gubu ila naamini ujumbe umefika.

HUJAFA HUJA HUJASIFIWA.

Inshaallah naomba kura yako.

ROJAMIRO.

rajabumrope18@gmail.com

0626496734

Hii kuweka rip kwenye status naona ni unafiki of the worst kind kwa kweli
 
Back
Top Bottom