Katuni: madhara ya 'Uvivu' na 'ubishi', unaelewaje huu ujumbe?

Mwanamayu

JF-Expert Member
May 7, 2010
11,347
6,471
Huyu bwana anasema tabia hii inatokana na uvivu na ubishi. Mimi nafungua hizo sababu za huyu bwana kuwa ni 'uvivu' wa kufikiri au uwezo mdogo wa kufikiri, 'ubishi' unaoendana na kutokuelimika na elimu ndogo. Na mazoea ya kutokufuata taratibu na sheria yakiendana pia na uvivu wa kufikiri. Na walio wengi hasa Tanzania hususan Dar niliowahi kukutana nao na kuwaona ni wa type hii. Wewe unaitasamaje hii katuni kwa tabia hii kati ya jamii ya watanzania?

kibonzo%201%20and%202%20dec%202016.jpg

source: itv.co.tz
 
"Uvivu" wa kupanda ngazi za flyover na "Ubishi" wa kudhani kuwa hamna dereva atathubutu kumgonga!!
 
Back
Top Bottom