Katuni kwenye gazeti la mwananchi kuhusu tanesco- ni sahihi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Katuni kwenye gazeti la mwananchi kuhusu tanesco- ni sahihi?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by SG8, Dec 26, 2010.

 1. SG8

  SG8 JF-Expert Member

  #1
  Dec 26, 2010
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 3,198
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 160
  Waungwana habari ya kufungua Mabox.
  Leo katika kupitia gazeti pendwa la Mwananchi Jumapili Ukurasa wa 16 nimekutana na katuni inayoelezea jina ambalo Tanesco inatakiwa ipewe. Eti inaitwa TANGISCO yaani TANZANIA GIZA SAPLAI KAMPANI? Tutafakari
   
 2. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #2
  Dec 26, 2010
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,816
  Likes Received: 10,106
  Trophy Points: 280
  Hahahahaaaa hizi katuni naziaminia sana, zinapeleka ujumbe mara elfu moja zaidi ya wabunge mia mbili wa CCM!! yaani vichwa vya wabunge wa ccm ni sawa katuni moja ya mwananchi!!! hivi sitapata "BAN" kweli na haka kasikukuu ambako kiranja mkuu kakachunia hata kutupa "HI" hataki
   
 3. Ms Judith

  Ms Judith JF-Expert Member

  #3
  Dec 26, 2010
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 2,569
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  hahaaaa, kipanya namuaminia
   
 4. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #4
  Dec 26, 2010
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  It is true jina hilo linawafaa tanesco.
   
 5. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #5
  Dec 26, 2010
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Ha ha ha ha!
   
 6. Lasikoki

  Lasikoki JF-Expert Member

  #6
  Dec 26, 2010
  Joined: Jan 10, 2010
  Messages: 642
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  kaaaaazi kweli kweli!
   
 7. M

  Mokoyo JF-Expert Member

  #7
  Dec 26, 2010
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 14,807
  Likes Received: 1,973
  Trophy Points: 280
  hahahahahahah loh, nimeipenda hiyo TANGISCO
   
 8. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #8
  Dec 26, 2010
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Mwenye kuweza kutuwekea tunaomba jamni hiyo picha hapaaa:whoo:
   
 9. samirnasri

  samirnasri JF-Expert Member

  #9
  Dec 27, 2010
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 1,377
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Ni kweli kwa miaka mingi wameshinwda kuboresha huduma hiyo mgao umekua ni sera ya nchi kwa hiyo wakiitwa TANGISCO ni sawa tu. Kwa upande wa JK kuchunia sikukuu ya x mas sio Kweli maana alitoa salamu za sikukuu kupitia kwa mwakilishi wake na alikabidhi yawadi pamoja na MBUZI kwenye vituo vya kulelea watoto.
   
 10. jino kwa jino

  jino kwa jino JF-Expert Member

  #10
  Dec 27, 2010
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 769
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  big up kipanya na wenzio wa katuni
   
Loading...