Katuni gani kwenye gazeti umeimisi sana?

nancy1983

Member
Aug 3, 2016
10
16
Kuna katuni ya Kaboka mchizi alikuwa kwenye gazeti la Alasiri yani Kaboka alikuwa mtu wa mikwara sana ila siku ya mwisho alikuwa anashushiwa kipigo.
 
Kuna jamaa wakuitwa Zero kama sikosei alikuwa kwenye gazeti la mzalendo kipindi hiko lile gazeti lilikuwa kama shuka vile.
 
Bi Mkora - gazeti la majira huyu ilikuwa kila siku lazima nimsome.

Madenge - gazeti la sana miaka hiyo, sana la siku hizi sio kama la zamani.
 
Back
Top Bottom