MtanzaniaKuna jamaa wakuitwa Zero kama sikosei alikuwa kwenye gazeti la mzalendo kipindi hiko lile gazeti lilikuwa kama shuka vile.
Mr Tolu we ustakenchekeChakubanga, wa gazeti la uhuru enzi hizo Na matata mingi wa business time.
Huyo Tolu ni noma. Na jamaa yake Manyusi hahaaaM
Mr Tolu we ustakencheke
Huyo Mr Tolu anaosha coaster hazunguki gariHuyo Tolu ni noma. Na jamaa yake Manyusi hahaaa
Ulimaanisha SANI.....!Bi Mkora - gazeti la majira huyu ilikuwa kila siku lazima nimsome.
Madenge - gazeti la sana miaka hiyo, sana la siku hizi sio kama la zamani.
Naam ni kweli Chakubanga polo na Bushiri!Chakubanga, wa gazeti la uhuru enzi hizo Na matata mingi wa business time.
Ooh yeah.Ulimaanisha SANI.....!