Malaika Mkuu
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 901
- 907
Upo kidato cha ngapi? Maana toka mmejengewa hizo maabara zisizo na vifaa akili zenu zimezidi kudumaa..
Uko sawa vija tugutuke tuache siasa za mkumbo tuwe na mtazamo
Taifa liliishaangamia,wanaangaika labda litafufuka.Kwa kufuata mkumbo vijana wataliangamiza taifa...! Maana mchuma janga hula na wakwao.
Taifa liliishaangamia,wanaangaika labda litafufuka.
mbona tunaitwa masiki unamaanisha siasa za
mkumbo ndo zimetufikisha hapo?
kama jibu ni ndiyo basi waliopo madarakani
wajiengue maana wamekosa kutupatia siasa safi
na hivyo watu wakaamua kufuata mkumbo.
Tukutane oct 25 ndo mtajua vijana wakoje.
Viva ukawa viva.
Mkuu haya ni mawazo ya chama tawala,ambapo amri jeshi ndo mwenyekiti wa chama.Usahihi, taifa lililoangamia ni kama somalia, libya nk. Swali: Umetumia vigezo gani kujua kuwa hao unaowafuta watalifufua taifa?
Lowasa amekuwa sehemu ya matatizo ya nchi hii pamoja na Sumaye, Kingunge na co. Duni haji alikuwa waziri wa afya wa SUK Zanzibar, akashindwa. Leo ndo tunasema tuwape dhamana? Hivi kweli tuna vigezo au tunafuata mkumbo.Tatizo la vijana wanafikiri eti chadema watamdhibiti lowasa, hakuna mwenye mamlaka ya kumdhibiti amir jeshi mkuu.