happy amos
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 251
- 434
Tulikua dukani na dada yangu.... Ghafla akaja kaka anauliza dawa akampa yaani hata hatukuelewa mini kimetokea baada ya masaa 2 ndo tunagundua kaondoka na simu.... Kitu ambacho sikielewi ameibaje tumekaa hapa tusione???