Katubu uenezi CCM anatafutwa, huyu wa sasa amekuwa mpole na simachachari

Sio mwanasiasa, lakini tuliokuwa shule za msingi 1980s, enzi vijana wa CCM kwelikweli, ukiwa chipukizi, ukiukwaa ukamanda, unakwenda Yugoslavia na nchi nyingine za kijamaa. Nimemsikiliza Polepole Jana kwenye Jambo Tz, nilimpenda bure! The boy is well informed with the Politics of this country, intelligent as well !Sipendagi siasa za matusi, makelele bali hoja! Polep ole is fit! Vijana acheni tamaa za vyeo, Huyo bwana ni think tank! Endeleeni kuisuka CCM mpya Iwe ile ya Mwl. Nyerere na wenzake wa mwanzo. CCM is not at threat! Narudia siyo mwanasiasa, nafanya tu kumbukizi ya Mwl. Nyerere na CCM yake, nikiwa mmoja wa wanagwaride kule kanda maalumu wakati mwalimu anang'atuka.
 
Itakuwa ndio kinachomfanya Jery kuchafua hali ya hewa mara kwa mara
 
cdm V.jpg
 
Unachokieleza kinaonekana kina ukweli 97%. Nilitaka kushangaa kwa nini jamaa anafanya press conference protea kuwajibu CDM yeye kama nani?? Kumbe kuna kafursa kamejitokeza, wacha apambane na hali yake hamna namna. Wana ccm walishazoea siasa za kina Nape obvious Polepole watamuona amepooza tu.
 
Kuna habari zinasema Katibu Muenezi wa sasa wa CCM amekuwa mpole na simachachari kiasi kuwa chama akionyeshi makucha wala taasisi zake,nakusema uvccm wamekuwa wakikatazwa kutoa matamko nakusababisha mvutano ndani ya Katibu muenezi na taasisi hiyo ya vijana !

Nakusema taasisi zimezorota kufikia kiwango kisicho ridhisha!,na kuna mkakati wakumuondosha na kumpa ajira nyine hivyo huu ujio wa Jerry Muro ni mkakati pangwa ndani vijana wa ccm wanaojiona wao ndio wanaoweza kutoa matokeo chanya!Kazi iliyopoo nikupitia kwa mtu mwenye ushawishi kwa Mwenyekiti wa CCM ili alitazame kwa makini hili hata ukiona utaona mkutano na waandishi wa habari utajikita kujitengenezea mazingira yakuaminika ndani ya chama.

UVCCM wanaamini siasa za Katibu mwenezi hazina kazi wao wanaona siasa za kuparurana katika majukwa kwa sasa ndizo zinafaa kwa kilindi hiki.

Yetu Macho.
Jerry uwezo ni mdogo na anakosa sifa ya msingi kuwemo katika CCM mpya!! Tukihitaji mtu wa kuongea sana tayari CCM tunaye Haji Manara huyo Muro aende TLP ya Mrema!
 
Jerry awe Katibu Mkuu, maana pale yanga ameacha sifa lukuki.
 
Back
Top Bottom