Magulumangu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2010
- 3,047
- 452
Ukweli jamani upo pale pale kuwa Mkwere 2010 hakushinda, na dhambi ya wizi daima watz tutaona matokeo yake........
weka data to support your statement!Ukweli jamani upo pale pale kuwa Mkwere 2010 hakushinda, na dhambi ya wizi daima watz tutaona matokeo yake........
weka data to support your statement!Mheshimiwa Kikwete alishinda tena alishinda kirahisi sana,naelewa kuwa mnaishabikia Chadema,inawezekana kabisa hamna hata shahada ya kupigia kura seuze kujiandikisha ,hivyo mpo sawa na wale ambao wakienda kwenye mikutano kwa wingi na kujenga tamaa kwa viongozi wa Chadema kuwa wanakura nyingi .kumbe ni washangiliaji tu.
Crap!Ukweli jamani upo pale pale kuwa Mkwere 2010 hakushinda, na dhambi ya wizi daima watz tutaona matokeo yake........
this is typical udaku. Shame on you.Na dhambi hii itamtesa daima, hatatoa speech katka baadhi ya matukio muhimu na muda mwingi atakua nje ya nchi na hata pale atakapolazimika kutoa maamuzi basi atatoa kwa maslahi ya mafisadi wenzie!!!
Na dhambi hii itamtesa daima, hatatoa speech katka baadhi ya matukio muhimu na muda mwingi atakua nje ya nchi na hata pale atakapolazimika kutoa maamuzi basi atatoa kwa maslahi ya mafisadi wenzie!!!
Mheshimiwa Kikwete alishinda tena alishinda kirahisi sana,naelewa kuwa mnaishabikia Chadema,inawezekana kabisa hamna hata shahada ya kupigia kura seuze kujiandikisha ,hivyo mpo sawa na wale ambao wakienda kwenye mikutano kwa wingi na kujenga tamaa kwa viongozi wa Chadema kuwa wanakura nyingi .kumbe ni washangiliaji tu.
:car:JK ni rais wa NEC ,TISS na MAFISADI.
Na dhambi hii itamtesa daima, hatatoa speech katka baadhi ya matukio muhimu na muda mwingi atakua nje ya nchi na hata pale atakapolazimika kutoa maamuzi basi atatoa kwa maslahi ya mafisadi wenzie!!!
Mkuu umetisha. Utabiri wako umetimia
this is typical udaku. Shame on you.
atapiga hata zeze