Katoliki: CCM wajihoji kumpoteza Dk Slaa

Hapa Askofu kakata mzizi wa fitina.Yote aliyoongea ni ukweli mtupu.Tusubiri kama Makamba au Chiligati atasema lolote
 
askofu umesema kweli kwa mapenzi yako. nafikiri kama kanisa lingehusika ungesema wazi maana mambo yanayofanywa na kanisa na mapesa mliyokua mkipewa na serikali kuendesha miradi yenu yote mlikua mkiyasema wazi.
Nakuamini kama askofu lakini nashindwa kuelewa kama haumtetei slaa maana unaacha swali upande wa pili tu, jaribu kubalance ili tuone kua unasimama kwenye haki maana nakumbuka hata mwizi bila ushahidi hukana wizi wake.
Pia askofu kama wewe unatakiwa kuhakikisha nchi inaongoswa vizuri bila shaka unaweka wazi hata rais yoko chini ya uangalizi wenu, mkisema fanya anafanya, na mkisema acha anaacha. hongera kwa kutujulisha.
pia kazi ya kusimamia maadili ya taifa hongereni, maana waumini wenu maadili yanapanda vibaya bado moja tu kutembea na vichupi ili maadili halisi mnayotaka yatimie.
Pia historia imenipiga chenga na si vibaya kama mtanisaidia, kipindi cha mkapa sikumuona askofu yeyote akisimama hadharani na kumshambulia inaonekana basi hata kashfa na mikataba mibovu alotuachia ya madini hii yote ilikua sahihi(au chakwenu kililetwa bila matatizo ndo maana hamkusema) mwinyi mlimponda mpaka matusi ya nguoni mkiongozwa na baba yenu. sasa huyu ndo kawa kama mwanenu tu mnatukana mtakavyo (tunajua wazi amekataa kulipatia kanisa baadhi ya mapesa lililohitaji kama ilivyoelezwa na gazeti mmojawapo hapa nchini siku za nyuma) Tunajua mlimpamba sana JK kwa uhakika kua akiingia atafuata nyayo zenu kama kwa mzee BEN maskini JK aliwageuka na kutaka makundi yote yapate haki sawa na ndo maana mnafanya kila muwezalo ili achafuke sana kuliko alivyo ili malengo yenu yatimie.
Tunajua wazi Kanisa lina ajenda mbili uchumi na dini . swala la uchumi limeyumbishwa sana na huyu jamaa kwa kukataa wazi mambo yenu na ndio maana hata slaa mwenyewe alinena "nchi hii haitatawalika" mtafanya kila muwezalo ili kumng'oa. kisha unatufanya sisi watoto sana .
ni bora uwadanganye waumini wako ambao unawazuia wasisome zaidi ya sehem uliyowaelekeza sio watu wote wenye uwezo wa kusoma lolote kutoka sehem yoyote. POLE ASKOFU KWA KULETA HADITHI YA KUKOJOA KITANDANI NA KUKAUSHA USIKU HUOHUO KWA NGUO KAVU LAKINI UJUE HARUFU YA MKOJO ITAKUUMBUA.
 
Kanisa linaishauri CCM ijiulize ilimpoteza vipi Slaa, kwani wao wana majibu ya kwa nini kanisa lilimpoteza padre Slaa?
 
Amini........amini........serikali isipojipanga na kuachana na mambo ya dini itatupeleka kubaya
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom