Katoa mimba, dokta aliyemtoa anamtaka kimapenzi. je afanyeje?

Nashukuru kwa mawazo yenu, japo mingine ya kejeli na lawama, ila ninachoamini mimi siyo kila mimba basi ni lazima izaliwe bali kwa maisha ya sasa yahitaji utayari wa kila kitu ili hicho kiumbe kisije pata tabu za dunia hii na sii kujaza dunia kwa kua dunia haiwezi jaa kamwe. Ni dhambi na Aibu kwa aliye na imani hiyo ila kwangu bado ni jambo sahii kwa sasa, kinachonitatiza ni huyo dr kumuaproach mamsup kimapenz jambo ambalo kwa mwanaume yeyeto aliye mzinzi au asiyetaka familia kubwa kama mm LAWEZA mkuta.
 
Huyo doctor inawezekana alilamba mzigo kwanza kwani nasikia wanawapaga dawa za usingizi halafu wanakula mzigo kuna mama mmoja alikuwa na matatizo ya uzazi alienda mwananyamala akapewa dawa ya usingizi wakati dokta anaendelea uchafu wake akashtuka kesi iko mahakamani sijui imeishia wapi
 
Dhambi ya kuua kiumbe asiye na hatia inawanyemelea.Kama mnaona muda boda,kwanini mlifanya ngono, tena ngono uzembe?
 
Dhambi ya kuua kiumbe asiye na hatia inawanyemelea.Kama mnaona muda boda,kwanini mlifanya ngono, tena ngono uzembe?
 
Si bora huyo alimtongoza wengine huwa wanawapiga ganzi wanawalamba halafu ndiyo wanawatoa mimba NACHUKIA UTOAJI MIMBA MUNGU ANISAIDIE KWENYE HILI SIWEZI Kuficha hisia zangu am lost control.
 
Pole sana ndugu. Kitu kizuri kula na mwenzio. Huyo docta alionja hiyo siku mlivyoenda kwa mara ya kwanza akanogewa sasa anataka tena.
 
Kutoa mimba ni dhambi sawa na kuua, sijui unasali kanisa au msikiti gani wewe, na sijui kama unalitambua hili? Hamna excuse yoyote yakusema hatukuwa tayari na hiyo mimba. Anyway, naona Sir God kakulipa hapahapa na mkeo ndo keshaliwa huyo, sa sijui akimjaza tena mtatoa tena? Pole, ila usirudie kutoa mimba aisee umeniharibia siku, ingekuwaje na wewe mazako angeitoa mimba yako? aggggghrrrrr
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom