Katoa mimba, dokta aliyemtoa anamtaka kimapenzi. je afanyeje?

pichuwanyi

Member
Jan 13, 2011
21
7
Wakubwa heshima mbele,

Hivi karibuni mchumba wangu alipata ujauzito bahati mbaya baada ya kutokea interuption kwenye normal cycle yake, na kwa kuwa hatujajiandaa kulea kwa sasa ikabidi twende kwa mtaalamu ili ikiwezekana itolewe, tulimpata na akakubali baada ya kutuhoji na kujua nia yetu kufanya vile.

Tukaelewana gharama, siku, na muda, ndipo nikamsindikiza mamsup kwenda ku-abort niliambiwa nisubiri (waiting room) then baada ya saa 1 na nusu watarudi, na waliporudi mamsup alikua hoi,
 
Wakubwa heshima mbele,
Hivi karibuni mchumba wangu alipata ujauzito bahati mbaya baada ya kutokea interuption kwenye normal cycle yake, na kwa kuwa hatujajiandaa kulea kwa sasa ikabidi tuende kwa mtaalamu ili ikiwezekana itolewe, tulimpata na akakubali baada ya kutuhoji na kujua nia yetu kufanya vile.

Tukaelewana garama, siku, na muda, ndipo nikamsindikiza mamsup kwenda ku~abort niliambiwa nisubiri (waiting room) then baada ya saa 1 na nusu watarudi, na waliporudi mamsup alikua hoi, dokta kanambia al



madaktari wanawatafuna sana hawa viumbe,
na hasa kwenye issue hii ya utoaji mimba....hili lipo sana mitaani kwetu!
 
naona kastory katamu lakini kamekatika kabla hakajaisha
 
Story za kutungwa za hitaji mbwembwe
Madoido zaidi ile ilete utamu kwa msomaji
(Target audience ) lakini hii imekurupuka sana bana..
 
Wewee, kutoa mimba ni hatari zaidi kuliko Dokta kumtaka m2 wako. Haingii akilini kuona watu wawili wanasaula, wanakazana, kulima shamba kisha wanakataa mavuno.
 
auaye kwa upanga naye atakufa kwa upanga, cost ya kuuwa kiumbe cha mungu na kufanya tendo la ndoa na mtoaji mimba havilingani hata kidogo, huitaji kulalamika kama manzi wako kachapwa nao.
 
mi nafikiri theatre huwa ina manesi na assistant na doc kwenye kila procedure au inakuwaje huko kwenu
 
Lakini kumbuka kutoa mimba ni dhambi kubwa sana na ndo maana huyo dokta naye akataka kuiendeleza hiyo dhambi>alikuwa hoi kwa nini?
 
mi nafikiri theatre huwa ina manesi na assistant na doc kwenye kila procedure au inakuwaje huko kwenu

Hii yao haramu so wanafanya kwa usiri haihitaji nurse wala msaidizi yeyote Dr. tu anatosha
 
mi nafikiri theatre huwa ina manesi na assistant na doc kwenye kila procedure au inakuwaje huko kwenu
hamna kitu kama hicho... kuchoropoa mimba ni ishu ya dk 5 tu.. haiitaji assistant yeyote
 
Sorry jama umeme umekatika, kumalizia ni kwamba nilimchukua mamsup had majumbani kwetu, then after 5 daya tukapima tena na mimba bado ilikuwepo, tukatafuta sehem nyingine na ilifanikiwa kutoka. sasa baada ya pale ndipo yule dokta wa awali akawa anamtext mamsup kumtaka awe nae kimapenzh, sasa ninachojiuliza ile cku ya kwanza alifanya nn? Naombeni mawazo yenu wakubwa NIFANYEJE?
 
kale kamchezo maana yake muijaze dunia. Huyo dokta bora angem-do tu akamjaza nyingine
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom