TWAWEZA: Katika Watanzania watatu, Wawili wanataka Katiba Mpya

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,369
217,426
IMG_20211013_225343.jpg

Hii ndio taarifa iliyopatikana kutokana na Utafiti uliofanywa na Taasisi inayoaminika nchi Tanzania inayoitwa TWAWEZA , katika utafiti wao ulioitwa UNFINISHED BUSINESS .

Bila shaka sasa kuna haja ya kufuata matakwa ya wengi.
 
Ifikapo 2025 msiwakatae hao TWAWEZA na utafiti wa Rais atakayeshinda kwa kishindo!
Kwanini unataka Twaweza tuikubali tu wakati wa Uchaguzi?

Wakinunuliwa tutajua tu.

Mwaka 2016 Twaweza walikuja na matokeo ambapo ilionekana Umaalufu wa Shujaa Jiwe ulipungua kutoka 94% mwaka 2015 hadi 54% mwaka 2016.

Jamaa alifura kama Mbogo Mkurugenzi wa Twaweza alitekwa na kunyanganywa Passport.

🤣🤣🤣
 
Kwa sasa mnawaunga mkono, ila wakisema Mama anakubalika kwa 98% msijitokeze kuilaani hii taasisi. Maana kwa unafiki tu hapo ufipa mna shahada ya uzamivu.

Hapo umechanganya madesa. Kukubalika kwa Rais Samia ni tofauti na suala la hoja ya katiba mpya. Haya ni mambo mawili tofauti tusiyachanganye. Rais Samia anakubalika kwa vigezo tofauti na hitaji la katiba mpya bila kujali Rais gani yupo madarakani. Inavyoelekea hitaji hili linaweza.kuzimwa kwa nguvu za kidola siyo kwa hoja. Muda ni mwamuzi mzuri, tusubiri.
 
Kwanini unataka Twaweza tuikubali tu wakati wa Uchaguzi?

Wakinunuliwa tutajua tu.

Mwaka 2016 Twaweza walikuja na matokeo ambapo ilionekana Umaalufu wa Shujaa Jiwe ulipungua kutoka 94% mwaka 2015 hadi 54% mwaka 2016.

Jamaa alifura kama Mbogo Mkurugenzi wa Twaweza alitekwa na kunyanganywa Passport.

Hadi leo hajarejeshewa
 
Back
Top Bottom