Katika Uzi huu taja tabibu za hatari au unazoziogopa ambazo umewahi kushuhudia kwa macho

Superbug

JF-Expert Member
Jan 31, 2018
12,417
30,927
Kwenye maisha ya mwanadamu Kuna mapito ya kusisimua Sana Sasa Uzi huu naomba tutaje tabibu za hatari ambazo tumewahi kuziona kwa macho na zinazosisimua na kuogopesha. Naanza na nilizoona Mimi binafsi.

1.Sindano ya katikati ya jicho.
2.Sindano ya mgongo .
3. Sindano ya kwenye kisigino.
4. Kutahiriwa kwa kisu.
5.Oparation ya kuzaa kwa kisu.
6. Majeruhi wa kushonwa.

Endelea mdau hayo niliyoona yalinitisha .
 
Operation hiyo lazima uwe umeiona kwa macho au kufanya Kama ni daktari.
 
7.Mpira wa kutolea maji kwapani ambao unaubeba nje.
8.Catheta inaingizwa kwenye uume au uke ukojoe kwa mpira.
 
Cha kuonesha vidonda vya tumbo kwa kutumia camera ionyeshe
NDan ya tumbo kuna hali gan..... Sasa hyo camera inpta kwa mdomo kuelekea tumboni IPO kwenye mpra/tube ndefu tu na nene. Kpmo kinafanywa
Uk iwa unaona.....
Kinaingilia wapi? Mdomoni au ?
 
Tabibu gani tena jamani?
255788363637_status_3db06ab39ce34996a4242f528e7a20c7.jpeg
 
Kwenye maisha ya mwanadamu Kuna mapito ya kusisimua Sana Sasa Uzi huu naomba tutaje tabibu za hatari ambazo tumewahi kuziona kwa macho na zinazosisimua na kuogopesha. Naanza na nilizoona Mimi binafsi.

1.Sindano ya katikati ya jicho.
2.Sindano ya mgongo .
3. Sindano ya kwenye kisigino.
4. Kutahiriwa kwa kisu.
5.Oparation ya kuzaa kwa kisu.
6. Majeruhi wa kushonwa.

Endelea mdau hayo niliyoona yalinitisha .
Opereshen ya kutumbua jipu la tygo
 
Kinaingilia wapi? Mdomoni au ?
Maswali mengine aiseee!
Umeshaambiwa inapita kupitia Mdomo, kisha unauliza Kinaingilia wapi.

Haya basi kinapitishwa Sikioni, sio huko ulikopeleka mawazo yako.

Cha kuonesha vidonda vya tumbo kwa kutumia camera ionyeshe
NDan ya tumbo kuna hali gan..... Sasa hyo camera inpta kwa mdomo kuelekea tumboni IPO kwenye mpra/tube ndefu tu na nene. Kpmo kinafanywa
Uk iwa unaona.....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom