Katika Umeya wa majiji Tanzania kuna siri gani kubwa? Kwanini CCM wanakuwa na tamaa hasa maeneo ya wapinzani?

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,868
Najiuliza sipati jibu

Kwanini CCM wanakuwa walafi na wabinafsi wa madaraka? Kwanini ndani ya miaka 5 wamehakikisha maeneo yote kuliko na mamayor wa upinzani either wamewanunua au wamevunja utaratibu na kutwaa madaraka wao?

Kwa hali hii ccm inatofauti gani na kabulu? Kuna tofauti gani na mkoloni? Katika umayor kunanini ambacho wanataka kujificha huko?

Huo uzalendo na umoja unapatikanaje katika mazingira haya?
 
Najaribu kuwaza, watendaji wa Tume ya Uchaguzi watatokana na wafanyakazi wa Halmashauri ambao kimsingi wako chini ya Meya. Ni mawazo yangu yanayochagizwa na njaa ya kutwa nzima
 
Najiuliza sipati jibu

Kwanini CCM wanakuwa walafi na wabinafsi wa madaraka? Kwanini ndani ya miaka 5 wamehakikisha maeneo yote kuliko na mamayor wa upinzani either wamewanunua au wamevunja utaratibu na kutwaa madaraka wao?

Kwa hali hii ccm inatofauti gani na kabulu? Kuna tofauti gani na mkoloni? Katika umayor kunanini ambacho wanataka kujificha huko?

Huo uzalendo na umoja unapatikanaje katika mazingira haya?
Hakuna kingine zaidi ya rushwa,wanaenda kuidhinisha fedha za kampeni fake.Hawa ni wezi kama wengine,walikosa namna ya kupiga kwenye hizi halmashauri.Maeneo yaliyochagua wapinzani ni yenye makusanyo ambayo walikuwa wamezoea kuchota watakavyo.Umesahau UDA ilivyopigwa?UDART ni Mali ya nani? Umeona kiasi walichotengewa katika bajeti ya 2020/21?
 
Ccm haina tofauti yoyote ile na mnyama FISI! Ni chama chenye tamaa iliyopitiliza! na viongozi wake ni watu wasioridhika kwa lolote lile! Kwao, maslahi ya CHAMA chao hutangulia kwanza, halafu maslahi ya nchi hufuata baadaye.
 
Meko ameharibu nchi.. sa hizi tungekua bonge la nchi africa, uchumi unakimhia kama jet.
Najiuliza sipati jibu

Kwanini CCM wanakuwa walafi na wabinafsi wa madaraka? Kwanini ndani ya miaka 5 wamehakikisha maeneo yote kuliko na mamayor wa upinzani either wamewanunua au wamevunja utaratibu na kutwaa madaraka wao?

Kwa hali hii ccm inatofauti gani na kabulu? Kuna tofauti gani na mkoloni? Katika umayor kunanini ambacho wanataka kujificha huko?

Huo uzalendo na umoja unapatikanaje katika mazingira haya?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiujumla CCM hawana nia njema na Taifa la Tanzania na Ustawi wa Watanzania.
 
Najiuliza sipati jibu

Kwanini CCM wanakuwa walafi na wabinafsi wa madaraka? Kwanini ndani ya miaka 5 wamehakikisha maeneo yote kuliko na mamayor wa upinzani either wamewanunua au wamevunja utaratibu na kutwaa madaraka wao?

Kwa hali hii ccm inatofauti gani na kabulu? Kuna tofauti gani na mkoloni? Katika umayor kunanini ambacho wanataka kujificha huko?

Huo uzalendo na umoja unapatikanaje katika mazingira haya?
mimi mkuu nilishajiuliza hilo swali sijapata jibu la uhakika. Nguvu inayotumika kuhakikisha wanapata u mayor au uenyekiti wa halmashauri ni kubwa mno. Nadhani Kuna kitu ksichokuwa halali wanafaidika nacho huko
Kuna namna wanafanya/walishafanya ufisadi na wanajaribu kuficha
Hata katika mazingira ambayo wanaona ni ngumu kushinda watatumia dola na hela kununua wajumbe wa upinzani
 
Back
Top Bottom