Katika ulimwengu wa kidijitali kuna mambo yananipa mawazo

kanchibay

JF-Expert Member
Jan 4, 2019
672
687
Habari ndugu wapenzi washiriki ndani ya kiwanja chetu pendwa cha kujidai (JF)

Hebu tufikirie kidogo kidijitali

Hadi sasa nafikiria sana na sipati majibu sahih haswa kwa upande wa dijitali na sipati majibu yalo sahihi kwasababu mim ni mjinga wa mambo kadha wa kadha ndani ya dijitali yenyewe.

Hiviii Idara ya mawasiliano ikakaa na kuamua kulinda usalama wa raia na utambulisho wake katika mawasiliano ikabuni mfumo wa kusajili lain kwa kutumia vidole kwa kuhusiana na namba za kitambulisho cha utaifa wa raia husika!

Je, ni kweli bodi ilichunguza usalama wake kabisa?

Je, ni asilimia ngapi labda?

Je, mbona baado wizi unaendelea kuchukua nafasi kwenye simu?

Je, mbona watu wana sajili namba zao za simu kwa kutumia namba ya kitambulisho cha taifa cha mtu mwingine wakati hata hamjui mmiliki wa namba ya kitambulisho hicho yaan(NNI)!

Je, alama za vidole vya muhusika zinatoka wapi kuthibitisha usajili wa lain hiyo iwapo mmiliki wa vidole na namba hajui kama uhujum kama huu unaendelea?

Je, hiyo lain ikihusika kwenye wizi mwenye utambulisho ndo anakamatwa wakati mfumo ndiyo wenye udhaifu!!!?

Hakika sipati majibu kamili, maswali ni mengi sana labda wahusika wanisaidie maana mi ni mtanzania asiye faham chochote kuhusu haya.

Ufafanuzi tafadhari
 
Kwenye ulimwengu wa technologist Kuna mabo mengi kwa hili siwalaumu Sana serikali hii mifumo inatengenezwa na watu genius lakini pia Kuna watu wajanja zaidi wanaikorokochoa pia..
 
Back
Top Bottom