Katika timu ya Yanga kuna cheo cha CEO?

Shark

JF-Expert Member
Jan 25, 2010
29,451
29,128
Wakuu kwema?

Niende kwenye mada, mfumo wa uendeshaji wa timu uko katika Katiba ya timu husika ambayo mostly probably hupitishwa na wanachama wa timu husika.

Mtendaji mkuu wa Simba huteuliwa (appointed) na Board of Directors chini ya Mwenyekiti Mohammed Dewji wakati mtendaji mkuu wa Yanga huchaguliwa (Elected) kwa kura.

Nimejiuliza maswali kadhaa juu huyu ndugu kusaini Yanga:

1) Senzo Mazingiza Mbatha ameenda Yanga kuwa Nani?
2) Kati yake na Mshindo Msolla nani atakua Mtendaji mkuu wa Timu?
3) Hakutakua na mgongano wa majukumu kati ya wawili hawa?
4) Ni kweli alikua akihitajika Yanga?
5) If answer for above is Yes then ili kuziba pengo la nani?

Karibuni.
 
Uchambuzi mzuri

Nachokiona kutakua na muingiliano wa majukumu kati ya Senzo wa GSM na Msola wa Yanga, hapa lazima wavurugane

Alafu hawa GSM wanaiendesha Yanga kihuni huni, haiwezekani unaitangazia dunia kwamba una mkataba na Shishimbi/Morrison kumbe huna.

Ndio maana hawa GSM wakibanwa uwa wanajifanya mkataba wao na Yanga ni jezi tu usajiri uwa wanajitolea
 
Mtendaji mkuu wa yanga ni nani kama sio katibu..ndg!!
Ndio maana nmeuliza Senzo ameenda Yanga kama nani maana kwa mujibu ni kwamba anakua CEO na hicho cheo ndio utendaji mkuu, hujaelewa wapi
 
Yaani katika watu fungu la kukosa senzo ni mmoja wapo.
Ulikuwa sehemu nzuri mshahara mzuri, wewe ndo bosi umedanganyika umeenda kukaa bench yanga.
Wenzio wanakimbia NJAA HUKO ww ndo kwanza unaifuata..
Senzo MUNGU akupe nini?

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
nimemshangaa sana huyu jamaa. halafu ana muda Tz na anajua kila kitu kuhusu Yanga. mwafrika mwafrika tu aisee.
We timu inategemea hela kwa mhisani,hafikirii kama GSM wakifanya kama alivyoifanyia yeye Simba itakuweje kwake
 
Mtendaji mkuu wa yanga ni nani kama sio katibu..ndg!!
Mimi nimemlinganisha Senzo na Msolla. Hakuna popote nilipomtaja Katibu Mkuu wa Yanga iwe kwa jina au kwa Cheo Chake.
 
nimemshangaa sana huyu jamaa. halafu ana muda Tz na anajua kila kitu kuhusu Yanga. mwafrika mwafrika tu aisee.
We timu inategemea hela kwa mhisani,hafikirii kama GSM wakifanya kama alivyoifanyia yeye Simba itakuweje kwake

Kwani simba zile hela ni zenu au ni za mo?. Sioni tofauti ya MO na GSM. Haiwezekani CEO wa simba hana chochote hawezi hata kusaini cheque, kuangalia salio la account kila kitu anafanya mo. Sisi washabiki tuendelea tu kufurahia matokeo tu lakini huko nyuma ya pazia ni uswahili mtupu.
 
Wakuu kwema?

Niende kwenye mada, mfumo wa uendeshaji wa timu uko katika Katiba ya timu husika ambayo mostly probably hupitishwa na wanachama wa timu husika.

Mtendaji mkuu wa Simba huteuliwa (appointed) na Board of Directors chini ya Mwenyekiti Mohammed Dewji wakati mtendaji mkuu wa Yanga huchaguliwa (Elected) kwa kura.

Nimejiuliza maswali kadhaa juu huyu ndugu kusaini Yanga:

1) Senzo Mazingiza Mbatha ameenda Yanga kuwa Nani?
2) Kati yake na Mshindo Msolla nani atakua Mtendaji mkuu wa Timu?
3) Hakutakua na mgongano wa majukumu kati ya wawili hawa?
4) Ni kweli alikua akihitajika Yanga?
5) If answer for above is Yes then ili kuziba pengo la nani?

Karibuni.
Kwani viongozi hawa wanajua hilo
 
Kwani simba zile hela ni zenu au ni za mo?. Sioni tofauti ya MO na GSM. Haiwezekani CEO wa simba hana chochote hawezi hata kusaini cheque, kuangalia salio la account kila kitu anafanya mo. Sisi washabiki tuendelea tu kufurahia matokeo tu lakini huko nyuma ya pazia ni uswahili mtupu.
kwa hiyo Senzo atakuwa anasaini cheki za GSM?
 
Yaani katika watu fungu la kukosa senzo ni mmoja wapo.
Ulikuwa sehemu nzuri mshahara mzuri, wewe ndo bosi umedanganyika umeenda kukaa bench yanga.
Wenzio wanakimbia NJAA HUKO ww ndo kwanza unaifuata..
Senzo MUNGU akupe nini?

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Inasemekana kuwa,
Senzo ni rafiki mkubwa wa GSM, na waliwahi kuishi nyumba moja huko S.A.
Hivyo basi,
Senzo aliendelea na urafiki na GSM alivyo kuja kufanya kazi Simba sc.
Urafiki wao ukianza kuelekea kuihujumu Simba sc, Senzo akiwa anapeleka Siri za Simba kwa GSM.
Kubwa zaidi Senzo alianza kumshawishi Chama ajiunge na timu ya GSM, na wachezaji wengine waende Uto kama watamaliza mikataba yao.
Zenzo alisha shitukiwa na akawa anapelelezwa bila yeye kufahamu, na wakajiridhisha kuwa anawasaliti.
Baada ya kujiridhisha wakawa hawatekelezi kile Senzo anacho ishauri Bodi ya Simba na kwa kushitukiza Bodi ikamsajiri Morrison bila kumshirikisha Senzo.
Alipo anza kudadisi kwanini hasikilizwa na hashirikishwi kwenye maamuzi ya Simba sc, Wadakuzi, wakamletea ushahidi jinsi anavyoihujumu timu ya Simba sc.
Hicho ndicho kisa cha kulazimika kujiudhuru kwa ghafla na kukimbilia kwa GSM, ambaye alimweleza chanzo cha kujiuzuru kwake.
GSM hakuwa na mna zaidi ya kumpa kazi hapo Uto ili kumlinda maana ni yeye ndiye aliyesababisha ajiuzuru pale Simba.

Inasadikiwa hivi.
 
Kama ana urafiki na GSM basi watampa kibarua chochote ila asahau kuwa kiongozi pale yanga

Back
Top Bottom