Katika suala zima la ndoa, dini ya Kiislamu ipo vizuri

Masikini waliojitafutia unafuu..kupitia umaskini wao ..hizo ni mbwembwe tu za kimasikini.

#MaendeleoHayanaChama
 
Hakuna muislam hasiyetaka kuitetea dini yake.. mjanja mjanja tu.. katika mambo yote katika uislam wewe umeona swala la mwanaume kuoa wake wanne tu.. na hii mada ina u Dini ndani yake.. Bisha?
Mada haina Udini hebu rudi uisome tena aya mbili za mwisho uone
 
Naomba hiyo andiko, liko kwenye qur an mstari wa ngapi
Uki enjoy sexual intercourse unalipia , haijasema kama huta enjoy itakuwaje

4:24Jalal - Al-Jalalayn ....; save what your right hands own, of captured [slave] girls, whom you may have sexual intercourse with, even if they should have spouses among the enemy camp, but only after they have been absolved of the possibility of pregnancy [after the completion of one menstrual cycle]; this is what God has prescribed for you (kitāba is in the accusative because it is the verbal noun). Lawful for you (read passive wa-uhilla, or active wa-ahalla), beyond all that, that is, except what He has forbidden you of women, is that you seek, women, using your wealth, by way of a dowry or a price, in wedlock and not, fornicating, in illicitly. Such wives as you enjoy thereby, and have had sexual intercourse with, give them their wages, the dowries that you have assigned them, as an obligation; you are not at fault in agreeing together, you and they, after the obligation, is waived, decreased or increased. God is ever Knowing, of His creatures, Wise, in what He has ordained for them.
 
Koran ndio imeandikwa chukua mwanamke uki enjoy mlipe , unataka kusema Koran ni ya mashia , alafu Kuna Hadith pia Allah kamuagiza Muhammad wafanye kununua wanawake mutah
Tuwekee hiyo hadithi.Mapadre kuna agizo la kutooa ili wawalawiti watoto na vijana wa kanisa?
 
Uki enjoy sexual intercourse unalipia , haijasema kama huta enjoy itakuwaje

4:24Jalal - Al-Jalalayn ....; save what your right hands own, of captured [slave] girls, whom you may have sexual intercourse with, even if they should have spouses among the enemy camp, but only after they have been absolved of the possibility of pregnancy [after the completion of one menstrual cycle]; this is what God has prescribed for you (kitāba is in the accusative because it is the verbal noun). Lawful for you (read passive wa-uhilla, or active wa-ahalla), beyond all that, that is, except what He has forbidden you of women, is that you seek, women, using your wealth, by way of a dowry or a price, in wedlock and not, fornicating, in illicitly. Such wives as you enjoy thereby, and have had sexual intercourse with, give them their wages, the dowries that you have assigned them, as an obligation; you are not at fault in agreeing together, you and they, after the obligation, is waived, decreased or increased. God is ever Knowing, of His creatures, Wise, in what He has ordained for them.
Ngoja nikarejee ntakurudia
 
Tuwekee hiyo hadithi.Mapadre kuna agizo la kutooa ili wawalawiti watoto na vijana wa kanisa?
Tunaongea kwa ushahidi wa maandiko , hiyo ya mapadre kama una andiko la wakristo linaloruhusu liweke

Hadith hizi hapa
Hii apa inasema walikuwa wanachukua wanawake na kuwalipa unga wa ugali

We contracted temporary marriage giving a handful of (tales or flour as a dower during the lifetime of Muhammad..... Sahih Muslim 1405d

Hii hapa muhammad anawaruhusu kukubaliana na mwanamke siku tatu na mkipenda mnaweza ongeza siku

Muhammad's said, "If a man and a woman agree (to marry temporarily), their marriage should last for three nights, and if they like to continue, they can do so; Sahih al-Bukhari 5119
 
Kwanini unakuwa muongo kiasi hiki ?

Wapi Mwanamke ana thaminiwa nje ya Uislamu ?
Kwa nini Allah anasema mpige wanawake
4:34.... Basi wanawake wema ni wale wenye kut'ii na wanao jilinda hata katika siri kwa kuwa Allah ameamrisha wajilinde. Na ambao mnachelea kutoka katika ut'iifu wanasihini, muwahame katika malazi na wapigeni
 
We contracted temporary marriage giving a handful of (tales or flour as a dower during the lifetime of Muhammad..... Sahih Muslim 1405d

Muhammad's said, "If a man and a woman agree (to marry temporarily), their marriage should last for three nights, and if they like to continue, they can do so; Sahih al-Bukhari 5119

Mpaka muhammad anakufa kwa kulishwa sumu mutah ilikuwa inaendelea
Yani Allah kila dhambi aliitafutia sababu ili aruhusu, Yani umalaya kaona Aite ndoa ya siku tatu , unamuacha unaoa mwingine siku tatu
Wewe Uislamu huujui,ndoa ya Mutah ilishakatazwa kitambo sana kabla Mtume hajafa,ndiyo maana nikasema hakuna Mutah katika Uislamu.

Nanukuu :

1. Allaah Aliyetukuka Anasema: “Lakini wanaotaka kinyume ya haya, basi hao ndio wanaoruka mipaka” (al-Ma’arij 70: 31). Na Aayah hiyo ikarudiwa tena katika Suratul Mu’minuun 23: 7. Wanavyuoni wa tafsiyr kama vile Shaykh Abu Bakr Jaabir al-Jazaa’iriy anasema kuwa Aayah hizi zinakataza ndoa hiyo ya Mut’ah.

2. ‘Aliy (Radhiya Allaahu ‘anhu) alitoka nje huku akimsikia mtu (Ibn ‘Abbaas) akitaja ndoa ya Mut’ah akamwambia: “Wewe ni mtu uliyesahau, hukumbuki kuwa Mtume amekataza ndoa ya Mut’ah na kula nyama ya punda zama za Khaybar” (Muslim).

3. Na Ibn ‘Abbaas (Radhiya Allaahu ‘anhuma) alisikiliza maelekezo ya kutoka kwa mtoto wa ‘ami yake (yaani ‘Aliy) kwa kuacha msimamo kuwa Mut’ah ni halali kama alivyosema Imaam al-Aluusiy katika tafsiri yake ya Ruuh al-Ma’aaniy: “Ni bora kulifutu jambo hili kwa kusema kuwa baada ya hapo (Ibn ‘Abbaas) aliyarudi maneno yake kulingana na mapokezi ya at-Tirmidhiy, al-Bayhaqiy na atw-Twabaraniy kuwa alisema (Ibn ‘Abbaas): ‘Kwa hakika Mut’ah ilikuwepo mwanzo wa Uislamu, alikuwa mtu huja katika kijiji ilihali hamjui mtu basi huoa kwa muda auonao kuwa atakaa hapo, akapata kuhifadhiwa haja zake na huyo mke na kusimamiwa maslahi yake yote (na huyo mke), mpaka ikateremka Aayah isemayo: ‘Isipokuwa kwa wake zao au kwa wanawake wale iliyowamiliki mikono yao ya kuume. Basi hao ndio wasiolaumiwa’ (Suratul Mu’minuun 23: 6), kwa hiyo kila tupu isiyo mojawapo ya tupu hizi mbili ni haramu” (Juzuu 5, uk. 6 na pia Tuhfatul Ahwadhiy Sherehe ya at-Tirmidhiy, Juzuu 4, uk. 269).

Sasa naomba unipe ushahidi unao onyesha ya kuwa mpaka Mtume anafariki ndoa ya Mutah ilikuwepo.
 
Kwa nini Allah anasema mpige wanawake
4:34.... Basi wanawake wema ni wale wenye kut'ii na wanao jilinda hata katika siri kwa kuwa Allah ameamrisha wajilinde. Na ambao mnachelea kutoka katika ut'iifu wanasihini, muwahame katika malazi na wapigeni
Sasa rejea katika Tafsiri uone namna ya kipgo cha Mwanamke kinavyokuwa.

Kingine kwahiyo kumpiga ndiyo kumshusha thamani ?
 
Ndio kumpiga mwanamke ni kumshusha thamani, hilo nimemaliza , mpaka sasa hujaleta verse ya Koran iliyokataza mutah
 
Kwa nini Allah anasema mpige wanawake
4:34.... Basi wanawake wema ni wale wenye kut'ii na wanao jilinda hata katika siri kwa kuwa Allah ameamrisha wajilinde. Na ambao mnachelea kutoka katika ut'iifu wanasihini, muwahame katika malazi na wapigeni
Tatizo lako hujui hukumu za hadithi na Quran Tukufu.
Nikupe mfano pombe ilikuwa inaruhusiwa zama za mwanzo wa Uislamu.Kwenye Suratul Nisai ikaja amri ya kuharamisha pombe.
 
Rudi kwenye mada , kwa nini wanawake wa kiislam allah karuhusu wapigwe, na kwa nini hakusema na wanaume wapigwe
 
Ndio kumpiga mwanamke ni kumshusha thamani, hilo nimemaliza , mpaka sasa hujaleta verse ya Koran iliyokataza mutah
Mwanamke kwenye Ukristo hana identity.Akiolewa anafuata ubini wa mume wake.
Umeandika"kuwapiga" mbona hujamalizia wapigweje?Kwa upande wa kanga ikiwa figure of speech kuonyesha kwamba kuna mgogoro kwenye ndoa.
Ndoa za kikristo Mwanamke hawezi ku divorce hata kama ananyanyasika.,anapigwa na mume wake akifa hana haki ya mirathi.
 
Rudi kwenye mada , kwa nini wanawake wa kiislam allah karuhusu wapigwe, na kwa nini hakusema na wanaume wapigwe
Mada ilikuwa ndoa wewe ndio rudi kwenye mada.Wanaume wanatoa mahari hata kwenye dinl yako!Umejiuliza kwanini wanawake hawatoi mahari?
 
Wewe Uislamu huujui,ndoa ya Mutah ilishakatazwa kitambo sana kabla Mtume hajafa,ndiyo maana nikasema hakuna Mutah katika Uislamu.

Nanukuu :

1. Allaah Aliyetukuka Anasema: “Lakini wanaotaka kinyume ya haya, basi hao ndio wanaoruka mipaka” (al-Ma’arij 70: 31). Na Aayah hiyo ikarudiwa tena katika Suratul Mu’minuun 23: 7. Wanavyuoni wa tafsiyr kama vile Shaykh Abu Bakr Jaabir al-Jazaa’iriy anasema kuwa Aayah hizi zinakataza ndoa hiyo ya Mut’ah.

2. ‘Aliy (Radhiya Allaahu ‘anhu) alitoka nje huku akimsikia mtu (Ibn ‘Abbaas) akitaja ndoa ya Mut’ah akamwambia: “Wewe ni mtu uliyesahau, hukumbuki kuwa Mtume amekataza ndoa ya Mut’ah na kula nyama ya punda zama za Khaybar” (Muslim).

3. Na Ibn ‘Abbaas (Radhiya Allaahu ‘anhuma) alisikiliza maelekezo ya kutoka kwa mtoto wa ‘ami yake (yaani ‘Aliy) kwa kuacha msimamo kuwa Mut’ah ni halali kama alivyosema Imaam al-Aluusiy katika tafsiri yake ya Ruuh al-Ma’aaniy: “Ni bora kulifutu jambo hili kwa kusema kuwa baada ya hapo (Ibn ‘Abbaas) aliyarudi maneno yake kulingana na mapokezi ya at-Tirmidhiy, al-Bayhaqiy na atw-Twabaraniy kuwa alisema (Ibn ‘Abbaas): ‘Kwa hakika Mut’ah ilikuwepo mwanzo wa Uislamu, alikuwa mtu huja katika kijiji ilihali hamjui mtu basi huoa kwa muda auonao kuwa atakaa hapo, akapata kuhifadhiwa haja zake na huyo mke na kusimamiwa maslahi yake yote (na huyo mke), mpaka ikateremka Aayah isemayo: ‘Isipokuwa kwa wake zao au kwa wanawake wale iliyowamiliki mikono yao ya kuume. Basi hao ndio wasiolaumiwa’ (Suratul Mu’minuun 23: 6), kwa hiyo kila tupu isiyo mojawapo ya tupu hizi mbili ni haramu” (Juzuu 5, uk. 6 na pia Tuhfatul Ahwadhiy Sherehe ya at-Tirmidhiy, Juzuu 4, uk. 269).

Sasa naomba unipe ushahidi unao onyesha ya kuwa mpaka Mtume anafariki ndoa ya Mutah ilikuwepo.
Huu uzinzi wa mutah ulikuwa unaendelea mpaka maisha ya Umar , Soma kijana

....Yes, we had been benefiting ourselves by this temporary marriage during the lifetime of the Prophet (ﷺ) and during the time of Abu Bakr and 'Umar. Sahih Muslim 1405c
 
Mwanamke kwenye Ukristo hana identity.Akiolewa anafuata ubini wa mume wake.
Umeandika"kuwapiga" mbona hujamalizia wapigweje?Kwa upande wa kanga ikiwa figure of speech kuonyesha kwamba kuna mgogoro kwenye ndoa.
Ndoa za kikristo Mwanamke hawezi ku divorce hata kama ananyanyasika.,anapigwa na mume wake akifa hana haki ya mirathi.
Allah kasema wapigeni , wapigweje ni wanadamu ndio wanaongezea kwenye Koran hakuna
 
Back
Top Bottom